Wadiz
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 5,413
- 11,065
Kama mwanadamu sina tofauti na wengine wote. Mwaka huu wa 2023 nimekutana na hadithi nzuri sana zenye kujenga japo ni visa vya kusikitisha sana, kisa cha kwanza jamaa kanihadithia namna alivyomfumania mke wake akinyanduana na mjomba wake ambae ni kaka wa Mama yake mzazi. Aliwakuta live akaita mashahidi wakashudia na hakufanya chochote si kupiga si maneno. Huyu mhanga kwa maelezo yake anasema nguvu na upeo wa kuhimili vimetokana na Shule na nasaha kutoka kwa Babu mzaa baba yake.
Kisa cha pili huyu Mwamba mkewe amenyanduana na baba yake mdogo nae kawakuta live, Cha ajabu huyu wa pili aliwaomba radhi kwa aibu Ile nae pia alikuwa na mashuhuda kadhaa.
Baada ya kukaa na hawa rafiki zangu wote nyakati tofauti na kupata hadithi hizi mbili nimejifunza mengi mengi sana.
Mbususu isiwe sehemu ya chanzo cha kukosa amani, kugombana na watu bali kubali ya kwamba mbususu ni sehemu ya starehe zenye ushirika katika starehe za wanadamu.
Sio rahisi sana ila ukipata msingi wa maarifa ya umuhimu wa ujinga na upumbavu katika kuishi maisha ya hapa Duniani ni rahisi sana kubeba hizi nguzo mbili. Ujinga na upumbavu.
Busara na hekima ni nguzo za ujinga na upumbavu wenye heri na baraka katika maisha yetu.
Nuru iliyo njema ni lishe ya nafsi na moyo thabiti.
Shukrani