Wenye Magari Mnayajua haya? Zingatia hasa wakati huu wa safari za Likizo!!

utaambiwa ya ZINOIL
mkuu kwanza nikurekebishe kwenye jina sio ZINOIL bali ni ZINOL.
Humu tunaelimishana na kupashana habari lakini uamuzi unabaki kwa consumers..ndio maana hata shule zina vidato sawa lakini nyingine zinafaulisha wanafunzi zaidi ya nyingine.it is all about quality na standards
 
Nissan xtrail nitumie oil ya namna gani[/QUOTE
Tripo9
ni vizuri kuchungulia user manual kwanza kuona Nissan recommendatio kwa toleo la gari yako.sana sana inategemea muundo wa engine na year of manufacture
 
Last edited by a moderator:
utaambiwa ya ZINOIL
Manufacturers wa magari na mitambo huwa wana recommend Specifications na perfomance grades such as SAE or API
kamwe hawataji brand name ya product
Nikuulize tu..je gari yako ulishaambiwa uweke petrol ya kampuni gani?
 
Inkoskaz,

Dah, gari yangu iligoma kuwaka asubuhi, warning lamp zote zikawa zinawaka kama hazina akili uzuri kwenye dashboard. nikamwita fundi, kutazama oil imeganda, imekuwa kama grease iliyochanganyika na mkaa. Fundi akanambia ni bahati yako gari yako ime sense kuna hitilafu kwenye oil ikaamuwa isi-start, la sivyo engine ingepata matatizo. Hii oil tulibadilisha safarini Arusha. Tumeitumia safari moja kutoka Arusha kuja Dar na raundi mbili tatu za Dar mjini, yaani haijamaliza kilomita 1,000.

Ikawa ni hasara juu ya hasara, ikabidi fundi ai-flash engine kutumia ma kemikali tuliyonunuwa ghali (STP), oil nyingine, filter nyingine na baada ya hapo akanambia ukishatumia kilo mita 100 au 150 tubadili tena filter na oil. Ikabidi nikubali.

Mtaalam hebu nijuze, kilikuwa ni nini nilichouziwa Arusha?

Tena risiti za hilo duka nnazo ngoja nizitafute nizibandike humu iwe tahadhari kwa watu wa Arusha wanaonunuwa oil hapo, ni opposite na stand ya vifodi pale mjini kama unatokea CCM unaingia kushoto.
TBS Mwezi uliopita walitoa tahadhari kwa watumia magari kwa miji ya Arusha na Moshi juu ya uwepo wa Oil fake zinazoharibu magari..Source TBS
 
yes mkuu Mwanakwaya inawezekana.hiyo gari inaweza kutumia oil aina mbili tofauti yaani multi grade na synthetic kutokana na mapendezeo yako na ushauri wa TOYOTA ingefaa itumie API ya SL
bei ni kuanzia 8,000 to 12,000 tsh per litre
Ahsante sana mkuu. Nitawatembelea hivi karibuni.
 
Last edited by a moderator:
leo nimefurahi sana.... mngekuja na hoja moja tu ya kutangaza products zenu tungewaelewa, sasa hii ya TWO IN ONE ba! nga kustuka!
 
Nimerudi mkuu, refa alisababisha niage mapema
hahaha amavubi umesharudi kutoka mombasa kwenye challenge cup?
Ya fast jet pia ipo ni aviation category ingawa fastjet ina engine..ina brake..ina gears..ina hydraulic systems sasa sijui wewe ulitaka ipi?
 
yes mkuu Mwanakwaya inawezekana.hiyo gari inaweza kutumia oil aina mbili tofauti yaani multi grade na synthetic kutokana na mapendezeo yako na ushauri wa TOYOTA ingefaa itumie API ya SL
bei ni kuanzia 8,000 to 12,000 tsh per litre

Check hapa VALVOLINE™ LUBRICANT ADVISOR Valvoline Lubricant Advisor - Valvoline na kuhusu filter check hapa ambapo unaweza cross reference filter tofauti tofauti Cummins Filtration - Catalog - Catalog Map
baada ya kujua oil gani na filter hipi wapaswa kutumia then check Tracto Co. (Tanzania) Ltd watakuuzia oil na filter.
 
TBS Mwezi uliopita walitoa tahadhari kwa watumia magari kwa miji ya Arusha na Moshi juu ya uwepo wa Oil fake zinazoharibu magari..Source TBS

Ni kweli kuna oil fake, ila tumia oil ya ukweli branded in Netherlands, ingiza details za gari lako hapa VALVOLINE™ LUBRICANT ADVISOR http://www.valvolineeurope.com/english/lubricant_advisor ili uweze jua unatakiwa utumie oil hipi. na kama uko Moshi au Arusha piga number hii 0685530211
na kama uko Dar es Salaam check Tracto Co. (Tanzania) Ltd utapata oil sahii kwa matumizi ya gari lako.
 
Write your reply...Mimi ni Fundi Mitambo ya kilimo pamoja na Magari Nakushauri katika gari yako Rav 4 Tumia kilainishi(engine Oil ya Enduro ORXY 360 ni multpurpose na ni nzuri kwa matumizi ya engine ya gari yako. pia Nafanya huduma ya diagnosis check up ya Gari kama utahitaji napatikana Dodoma mjini AHSANTE.
 
Back
Top Bottom