Nani asiyejua kuwa somo la
mathematics kwa watanzania ni tatizo?
Kama shule za kata wanachangia Tshs. 20,000 kwa mwaka, wanafunzi 130 kwa
miaka mitatu inabidi wadaiwe Tshs. 7,800,000/=.
Mtoa mada ni kilaza mkubwa na wala hawezi kuwa Chagulani kwa kuwa
Chagulani namfahamu kuwa anajua hesabu vizuri na anaendelea na kazi zake
za udiwani kama kawaida.
Tusipende kupotoshana hapa! Msimsumbue mbunge wangu kujibu utumbo wa
hivi!
kamanda naomba usome kwa umakini, wameandika "HAJATIMIZA AHADI YA KUWALIPIA TOKA " JANUARY MWAKA JANA" "