Wengi wajitokeza mnada wa makontena ya Makonda

Mtoa mada una kichwa cha panzi na unatakiwa kukumbushwa kubakiza akiba ya maneno, uchafu unaorusha kwa Makonda wewe mwenyewe utakuja kuusafisha. Kumbuka ya Lowasa.

Siku Makonda akihamia chadema atapata mapokezi makubwa
na kusafishwa kwa kila aina ya Omo na kubatizwa mleta mabadiliko wa Ufipa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnada unaanza saa 4 kamili na watu wanazidi kumiminika, tutazidi kujuzana naingia ofisini kidogo hapa hapa port
Kweli mkuu watu ni wengi sana ila asilimia 99.9 ni sisi makada wa sisiem ambao tumeletwa na magari kuja kuunga mkono neno la jiwe. Halafu tutafanya igizo la mnada na vitu tutanunua kimaigizo ila kukonga nyoyo za wananchi wanyonge!!!
 
Back
Top Bottom