Wengi wajitokeza mnada wa makontena ya Makonda

Mtoa mada una kichwa cha panzi na unatakiwa kukumbushwa kubakiza akiba ya maneno, uchafu unaorusha kwa Makonda wewe mwenyewe utakuja kuusafisha. Kumbuka ya Lowasa.

Siku Makonda akihamia chadema atapata mapokezi makubwa
na kusafishwa kwa kila aina ya Omo na kubatizwa mleta mabadiliko wa Ufipa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app


Na wewe una kichwa cha jiwe
 
Mtoa mada una kichwa cha panzi na unatakiwa kukumbushwa kubakiza akiba ya maneno, uchafu unaorusha kwa Makonda wewe mwenyewe utakuja kuusafisha. Kumbuka ya Lowasa.

Siku Makonda akihamia chadema atapata mapokezi makubwa
na kusafishwa kwa kila aina ya Omo na kubatizwa mleta mabadiliko wa Ufipa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Kurudia rudia maneno kila mahala ni dalili za mental disorder, tafuta tiba haraka kijana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashauri TRA wasiishie kwenye import na excise duties tu. Wakusanye na 30% income tax hapo. Zawadi ni sehi ya kipato kwa mujibu wa sheria zetu za kodi ambazo Dr Mpango ameapa kuzitetea kupitia TRA.
 
Hivi vitu vikosa mnunuzi kwenye mnada ,ssheria za TRA zinasemaje....vinachomwa moto vinataifishwa na kugawiwa bure, ama zinakamatwa mali za aliyeagiza ili kufidia kodi hiyo !?
 
Kweli mkuu watu ni wengi sana ila asilimia 99.9 ni sisi makada wa sisiem ambao tumeletwa na magari kuja kuunga mkono neno la jiwe. Halafu tutafanya igizo la mnada na vitu tutanunua kimaigizo ila kukonga nyoyo za wananchi wanyonge!!!
Mkuu hii ni mind game hamna chochote ni kupumbaza watanzania makonda sio boya mpaka mzigo wake ukamatwe na tena anavyojijua chuki iliyoko juu yake..
Hizi ni siasa za kuchafuana makusudi ili kulinda image ya serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanini hawa JF wasingekuwa na wawakilishi{waandishi} kila mkoa kwa matukio makubwa haya, tungepata live update za picha na mengine mengi yanayoendelea huko,
please Melo zingatia hilo tafadhali
 
tunaomba na picha tafadhali,
Na hawa JF wawe na wawakilishi wao kila kona kuleta kwa kina habari kubwa kubwa kama hizi
 
Walimu wa dar mtafaidi
Screenshot_2018-08-30-21-53-23.jpg
Screenshot_2018-09-01-11-55-39.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom