Wema Sepetu atumbuliwa jipu

ngalelefijo

JF-Expert Member
Jun 26, 2012
3,709
2,272
leo kwenye orodha ya wadaiwa sugu wa tanesco yupo staa wetu wema sepetu.deni ni tsh milioni 8.sijui imekuwaje mtu adaiwe kiasi chote hicho wakati sis hata deni la buku 2 wanakata umeme??
 
Ila hilo deni linachekesha, matumizi ya nyumbani tu million 8,au ana kakiwanda humo....na tanesco walikua wanaanglia tu hadi deni linafikia hivo, au wanamsingizia?
 
Acha wivu atajua namna ya kulipa..mbona wataka auze range? Jitume nawe utapata
 
Msanii ni Kioo cha jamii. Sasa hapo ukioo uko wapi? Uaiibia serikali! Hapo ukioooo hamna kabisa. Mwanangu siku hizi anamwita 'wema mwizi wa nishati'💀💀💀💀💀💀💀💀💀💀
 
Ila hilo deni linachekesha, matumizi ya nyumbani tu million 8,au ana kakiwanda humo....na tanesco walikua wanaanglia tu hadi deni linafikia hivo, au wanamsingizia?

kumbe wema ana nyumba hapa mjini? otherwise meter ya luku ilitakiwa kusoma jina la mwenye nyumba...
 
Ila hilo deni linachekesha, matumizi ya nyumbani tu million 8,au ana kakiwanda humo....na tanesco walikua wanaanglia tu hadi deni linafikia hivo, au wanamsingizia?
Ana mashine ya kusaga na kukoboa....hivi inakuwaje mtu mwenye biashara ya billion 7(za zimbabwe) ashindwe kulipa bill ya umeme...
 
Mbona kwenye show za music mbona huwa anawatunza sana waimbaji anashindwaje kulipa bili? nakumbuka alimtumza magufuli midola siku ile anapiga ngoma
 
leo kwenye orodha ya wadaiwa sugu wa tanesco yupo staa wetu wema sepetu.deni ni tsh milioni 8.sijui imekuwaje mtu adaiwe kiasi chote hicho wakati sis hata deni la buku 2 wanakata umeme??

Nadhani ni calculation ya bypass aliyofanya na kukamatwa. So 8M ni rough estimates ya hasara aliyoisababishia Tanesco.
 
Back
Top Bottom