Weka Maneno Yako

SURUMA

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,892
1,064
Mayor wa New York Bwana Bloomberg (kushoto aliyeshika tama)alikuwa anawaza nini juu ya JK??

IMG_5252.JPG
 
Mbona haya anayoyasoma angeweza kumtumia balozi wa nchi yake hapa Marekani?
 
Masikini sijui anaogopa nini, inglishi yenyewe ya kuandikiwa anasoma sasa sijui anapaniki nini, nimeshaamua kutoa pesa si atulie tu!
 
Jamaa wanashangaa jamaa huyu alivyofika pale asijue yuko pale. Katibu mkuu ameshindwa kujizuia hadi anacheka kimoyomoyo huku jirani yake akijihisi kutapika kama siyo kulia. Ni kituko si haba. Akiambiwa ajisomee lau aelimike anaona anapigwa madongo. Hata hivyo si kosa lake. Maana alichaguliwa kwa sifa tatu kuu yaani sura nzuri, kuchekacheka hovyo na kutembeza takrima ya EPA. Zaidi ya hapo unategemea nini kwa mtu kama huyu ambaye ni tunda la udhaifu? Mie humpenda kwa kitu kimoja yaani kutoweza kuficha utupu wake.
 
yaani huyu boya sijui anatafuta nini hapa wakati pesa kaziacha huko kwake, watu wetu wanaenda kwake wanarudi matajiri.
 
Anashangaa UKILAZA wa mtu anaetwa rais wa nchi tajiri kama bongo!!! Watu wanakuja na begi tu toka kwao baada ya muda wanakuwa mabillionea hapa bongo lakini rais wa nchi hiyo hiyo ni MATONYA; what a paradox!!!
 
Mhh! Kweli kwenye miti hakuna wajenzi, mgodi wao mmoja tu wakiutumia watatupa msaada hadi sisi usa ila kalivyo kakilaza kametupatia migodi yote kwa malipo ya msaada wa neti
 
Mimi ninaona jamaa wa kushoto anamsikiliza kwa makini tu na imebidi amgeukie sababu JK yuko pembeni na hilo ni pozi aliloamua kuweka (mkono shavuni). Huyo wa katikati hajamgeukia sababu aidha dharau (weupe wanapenda kudharau weusi), au anaona anachoongea hakina mashiko kwake au pia ndo staili yake ya kusikiliza kwa makini.......
 
Mbona haya anayoyasoma angeweza kumtumia balozi wa nchi yake hapa Marekani?

Na yeye akae Magogoni kufanya nini?? The ship is on auto-pilot, Captain ana ruhusa ya kutembea tembea na kurelax....
 
Jk anasoma 2 the the the njingi anashindwa kusoma anasema mwandiko mbovu
 
Anashangaa UKILAZA wa mtu anaetwa rais wa nchi tajiri kama bongo!!! Watu wanakuja na begi tu toka kwao baada ya muda wanakuwa mabillionea hapa bongo lakini rais wa nchi hiyo hiyo ni MATONYA; what a paradox!!!

Moja ya definitions za neno PARADOX (Ref: thefreedictionary.com) ni ~A seemingly contradictory statement that may nonetheless be true: the paradox that standing is more tiring than walking. Huyu kiongozi wetu naamini ni UKILAZA ZAIDI, hakuna paradox wala MIUKIZA au BAHATI MBAYA
 
Mayor wa New York Bwana Bloomberg (kushoto aliyeshika tama)alikuwa anawaza nini juu ya JK??

IMG_5252.JPG

Kazi ya ombaomba Jk anaiweza nampongeza sana,lazima uwe na roho ngumu kama mwendawazimu,watashika tama mpaka wachoke mwisho wa siku lazima wampe msaada ata kama ni dume kondom,komaa nao mpaka kieleweke mzee wa kazi.....!
 
Waswahili kwa kujikweza ni balaaa. Amevaa utafikiri anatoka nchi ya dunia ya kwanza kumbe anatoka nchi ya mwisho katika kundi la nchi za dunia ya tatu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom