Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 19,936
- 38,618
Ipo mkuu me natumia nokia android na ipo. Unajaza addres, blood group, address, etc.Hiyo kitu ipo Kwenye iPhone tu Androids hazina.
Na sehemu ya kuweka contact.
Ipo mkuu me natumia nokia android na ipo. Unajaza addres, blood group, address, etc.Hiyo kitu ipo Kwenye iPhone tu Androids hazina.
Ipo mkuu me natumia nokia android na ipo. Unajaza addres, blood group, address, etc.
Na sehemu ya kuweka contact.
Sio kweliHiyo kitu ipo Kwenye iPhone tu Androids hazina.
Ohooo, watu wabaya hawachelewi kutuma sms za kuomba pesa duh, sawa imeeleweka mganga. Hivi hauna jinsi ya kuwaroga watu wabaya wasizione hizo namba muhimu kwenye ICE list fanya mpango Doctor.Yeah.. Lakini ikiibiwa pia inaweza kutumiwa na watu wabaya.. Muhimu ni vema ndugu jamaa naarafiki kutochukua maamuzi ya kukurupuka
Ohooo, watu wabaya hawachelewi kutuma sms za kuomba pesa duh, sawa imeeleweka mganga. Hivi hauna jinsi ya kuwaroga watu wabaya wasizione hizo namba muhimu kwenye ICE list fanya mpango Doctor.
Samsung anayo ila sijaiona kwa Huawei hii!!.. Tecno wasijisumbue tu!!..Hiyo kitu ipo Kwenye iPhone tu Androids hazina.
Yes. Mimi nimejaza taarifa zote including my blood group!
Hapana ni option tu kwa baadhi ya smart phones (Android & IOS).Hii ni application mkuu? Sijawahi kuijua
Hasante nilitoa lock katika simu yangu kwa sababu hiyo
Nime jaribu kwenye huawei yangu hakuna kituMi ya kwangu Android na hiyo kitu imo.