Weekend Story: The Art of Staying Married! (The grass is always greener on the other side)

Lara 1 aka kubwa la maadui barikiwa sana sana, bila kusahau sponsor wa story looh mbarikiwe mara mia
Nilikuwa nimerate valentine story whos getting marriage kama ma no 1 ila naona hii nayo kiboko loooh hatare sana lara moko
 
Unafundisha unaburudisha unashangaza
Hongera kubwa kubwa rala1 mungu akuweke uzidi kutufumbua tongotongo izi za maisha

Wazamin mmetisha sana asanteni mno ata kwa sisi wasoma kimya kimya mmetusaidia
 
Lara you are a rare stone
umeweza kunieka nisome tu tokea saa 5 hadi saa 8 lol
ubarikiwe..nimejifunza mengi
 
Lol ati ghost readers! Yani nimeona unanisema mimi maana I'm the number one ghost reader, nimefeel guilty kabisa. Ubarikiwe Lara 1 kwa kutuburudisha na sponsors tunawashukuru
 
Dada Lara , Asante Kwa nice story , lakini kuna maswali mengi sana ktk hii story Bado hayajajibiwa, ambayo ukikaa ukatulia Basi unaweza tengeneza episodes hata 5 Za muendelezo !!!
Swali Na:1, nini hatima ya Liston hasa ukizingatia zabibu ana nyota ya bahati mbaya ya kuua wanaume!!! Ningependa kujua what next Kwa zabibu !!!
Pia huyo Jamaa aliyejaribu kujisumisha hiyo hela M85 alipeleka wapi ??? Au alikula Na wewe Lara ???
 
Dada Lara , Asante Kwa nice story , lakini kuna maswali mengi sana ktk hii story Bado hayajajibiwa, ambayo ukikaa ukatulia Basi unaweza tengeneza episodes hata 5 Za muendelezo !!!
Swali Na:1, nini hatima ya Liston hasa ukizingatia zabibu ana nyota ya bahati mbaya ya kuua wanaume!!! Ningependa kujua what next Kwa zabibu !!!
Pia huyo Jamaa aliyejaribu kujisumisha hiyo hela M85 alipeleka wapi ??? Au alikula Na wewe Lara ???
Hahahahahhahahhaha eti alikula na lara hahahhahhahahahhah umenipa raha
 
duh Lara shukrani sana pamoja na masponsor..maisha haya story imeniacha na mawazo,hahaha kuna hiyo sehemu ya NSSF Lara jmn dah..embu tufanye kazi tuinvest.
 
Kumbukeni maisha ya hawa watu bado yanaendelea, so nahisi Lara kaishia walipo sasa,

Kuhusu Santos kwa hali aliyonayo, hata mkewe hawez kumuuliza pesa alipeleka wapi, sahz ni kupeana faraja had hiyo roho ya mauti imtoke,

Tumuombee Lara 1, December atupe mwendelezo wa hii story
 
Lara bana dah sipati pic mm nimesomaaa ili niweze kusema chochote mwisho mbona mwisho wanawake tunaonekama wasalti? Moureen na kujishaua utadhan aliolewa akiwa na bikra mjinga sana kama wote wangelipiza kisasi kwa waume zao michepuko walo nayo basi ndoa zisinge kuwepo

mkee wa shoo nae majanga hiyo ndo sababu ya kuolewa na mwanaume ukizani atabadilika kiufupi shoo ni kwa sababu ni mfupi so mke anajiona sio type yake ndo maana mizingi kila kikicha huyu dada amenitia kichefuchefu hakumbuki aliokotwa?? Alikuwa hana option? Spend wanaume wafupi ila siwezi kumpotezea bahati kwa wanaompenda.

Dah inaisha vibaya. No moey no life
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom