Weekend Story: The Art of Staying Married! (The grass is always greener on the other side)

Lara1 mmoja kati ya members wa humu jf ambao wanajitolea kwa moyo mmoja. Kuandika story ni kazi sana ila lara1 anajikunja anatuandikia mara nyingine anasema story saa4 usiku ila saa7 mchana huyu hapa anatuletea utamu. Mungu akubariki sana lara1

Ndo mnirushie MPESAAA sasa sio shukrani kavu. Kila mtu angerusha 10,000 si ningejibwedaaa. Au mniombee nipate bwana kama Adil anani keep busy 24/7 sina stress
 
Ndo mnirushie MPESAAA sasa sio shukrani kavu. Kila mtu angerusha 10,000 si ningejibwedaaa. Au mniombee nipate bwana kama Adil anani keep busy 24/7 sina stress
Bora io tutupie izo ten ten bt sio maombi ya ww kumpata Adil akukip bze afu ma story ya town yaote mbawa...
 
Hahahahaaaaaa! Kugombana jamani kuna raha yake kimtindooo. Haswaa ukiibuka mshindi wa huo ugomvi. And the makeup sex is to die for. Hahahaaaa! Wanawake ama kweli hatuna jemaaa.
Ahhaha hatuna jema kidogo sasa. Ila inategemea sasa na mtu wako. Mwingine leta visa vya kiboyaboya uishie kupata mijikonde uwiiiiii
 
Ndo mnirushie MPESAAA sasa sio shukrani kavu. Kila mtu angerusha 10,000 si ningejibwedaaa. Au mniombee nipate bwana kama Adil anani keep busy 24/7 sina stress
Mmh wewe ukipata bwana kama Adil utakuwa na jeuri bora tukuombee upate mtu kama shoo.

Huyo shoo na sophy wake najikuta tu nahamu ya kujua walikutana vipi
 
Mm nasikia watu wakilalamika mm natummia simu ila mtu aquote story yote kwangu inakuja mistar kama 7 halafu inakata chin inakuwa n reply ya huy mtu duhhhh polen sana
Me kwangu inakuja nzima nzima aiseee kama lara 1 alivyotupia
 
Unakuta mtoto mkalii, afu umemkamia, ile unaanza kuzamia tu, unakuta kitu kama kimechacha...
:D:D:D ilinitokea hio halafu demu alikuja asubuhi nikajiuliza huyu hana akili au vipi manake jana nilimwambia macho makavu kuwa akija nitamgegeda. Alinifanya niwe Al Shabab kwa liharufu lake kama jaa la mbagala
 
jMali kitu kisafi mazivu hamna, hakuna ukurutu wa fang.... weee fasta shingo inahamia mapajani.
Unachosema kilishanikuta mie. Kuna night stand moja nilikutana nayo nikaielewa mbaya... Nikajikuta mapajani kwake kwa zaidi ya 45mins.

Sent from my HTC_M910x using JamiiForums mobile app
 
:D:D:D ilinitokea hio halafu demu alikuja asubuhi nikajiuliza huyu hana akili au vipi manake jana nilimwambia macho makavu kuwa akija nitamgegeda. Alinifanya niwe Al Shabab kwa liharufu lake kama jaa la mbagala
jamani lol!
 
Leo humu kila mtu atajitia MZAMIAJI NA MOIGA MBIZI. Hahahaaaa! Santos katishaaaa.
Hahahahahahaahah nipo najitahidi kuwalinganisha KLM,Chriss & Santos...these people should meet wabadilishane ujuzi aisee...
 
Leo humu kila mtu atajitia MZAMIAJI NA MOIGA MBIZI. Hahahaaaa! Santos katishaaaa.
Mimi sijisifu lakini kuna ex-wangu niliila mpaka alikojoa kama mara 21, basi ikitokea kuonana hujifanya kuramba lips zangu nae hunipiga makofi anasema namtamanisha.
 
Leo humu kila mtu atajitia MZAMIAJI NA MOIGA MBIZI. Hahahaaaa! Santos katishaaaa.
Ha ha ha!! Ila demu akiwa msafi ile kitu haina haja ya kujiuliza mara 2. Unajikuta ushafika bila kutegemea unapiga tarumbeta
 
Shoo Vs Sophy.


Shoo tulikuwa tunasoma nae wote chuo kimoja course mojaa, tatizo la Shoo alikua mfupi afu book worms kinomaa. Sio mfupi hivo ila kama mnavoona mimi ni mrefu sasa na shoo kidogo tukawa hatuendani. Kama kawaida ya watu wafupi kupenda wanawake warefu Shoo alikuwa ananipenda mbayaaa. Ananifanyia home work, ananitafutia mdesaa, yaani ne desa point.

Kuna siku nilienda Zbar kukawa na quiz ya ghfla huwezi amini Shoo alinifanyia hio quiz. Na wasiofanya walikutwa na makubwaa. Sasa tatizo kipindi hiko Shoo choka mbaya, chokest. Ofa yake kubwa labda wali maharage wa 600 canteen akijingeza sanaa chips kuku za 3500. Afu kinganganizi luba, yule mtu humtakii ila yumoo tu. Anajifanya haelewi somoo. Akikuona mbele za watu anakufata nyuma nyuma au anajitia anakujua sanaa ili watu wamuone yuko na wewe.

Mimi kipindi hio Sophy, Sophy kwelii, natoka na mkaka wa NBC, kanikabidhi fungo za nyumbani kwake, Shoo ataniambia nini? Zaidi ya kunifanyia assigments na kunishughulikia kunifundisha ningekuwa hata simsalimii. Siku hio akajitia nundas lazima ale mzigo akaja hall seven manake alinitega uko na roomate wako? Nikamwambia hayupo niko mwenyewe. Ndo akaja anataka kula mzigo huko hall 7. Kwanza kuvaa hajui, katoka mkoa, ananuka kikwapa, mdomo wenyewe unatemaa.

Tumekaa mpaka saa 8, yupo oooh siwezi enda hall 2 nitakabwa sahizi, nikamwambia sio kesi, lala huko juu ya deka. Analeta ujanja wa kizamani wa ooh nataka tulale wote kitanda kimojaa. Mxiuuuuuuuu! Nikamkaziaaa. Baadae yuko ooh nimebanwa mkojo niangalizie wasichana wasinikute. Nikamuangalizia, akakaa mpaka saa 7 akaona bila bila akaamua kwenda kulala hall 2.

Mimi weekend naenda kwa Bf wa NMB, akanipa na gari dada ki ESCUDO cha 4 doors, nikawa untouchable pale chuoni, nikawa najiandaa na ndoa kabisaa, sina wasiwasi. Ikiingia ijuma naenda kwa bwana, tunapika, tunatoka mpaka jumatatu ndo narudi shule sasa. Yaani sikuwa na stress yoyote. Bwana anajiweza hatariii, hb wa hatari, kila mtu akiniona nae lazima akubali kuwa nina kismart kumpa bwana mzuri vile afu pesa anayo na ESCUDO kanigeaaa.

Chuo kikaisha mimi na Shoo tukaajiriwa Tigo. Shoo ananiomba lift kila siku, nampa kwa masimango si mnajua tena ukiwa nachooo. Sazingine ananiomba tupitie kanisani nagomaa. Mambo ya ibaa ya kzai gani? Huku na huku nikabeba mimba dada ya yule bwanaa. Mimba nikawa najua namsurprise nidekezwe ndoa iharakishwe. Weeeeee! Ndo akanichana live ana GF wake wa miaka mingi anafanya kazi USA ni nesi huko, so na mimi ilikuwa pitisha mda. Mtoto atalea ila ndo kashamtolea mahari yule, akimaliza tu masters yake ya nursing na kuja bongo inafungwa harusi.

Nikashukuru atanitunzaa, wapiiiiii. Ikawa kama ugomvi sasa, kanisusaaa, siku gari ikaharibika nikampigia akasema tamtuma mtu aje aichukue aipeleke garage, ndo kimojaaaa. Akadai gari imeibiwa nitafute ustaarabu mwingine. Nikalea mimba yangu kwa mawazooo. Hapo Shoo ameshapanda kazini, sanaa, ana gari mpyaa rav 4 ndo anaipa lift clinic, tukitoka, kuja kazini. Akawa anajiita godfather. Basi ananikumbusha nilimfaa na vilift vya Escudo wakati hana kitu. Siku ingine akumbushe nilimkataa buree tu maskini ya Mungu mengi sasa nimedoda! Hahaaaa! Basi ananirusha roho hio mimba ingekuwa yake hilo balaa lake wangemkomaaaa.

Nikajifungua, Shoo akaniletea kitanda cha bei ghali, hapo nimepaukaa, sina hela hataaa. Shoo akapata kazi EWURA sasa, tukawa tushazoeana siku sina nampiga kizinga cha live, bwana mwanao hana maziwa huku, pampers list nzimaa, anajibu Mbegu watie wengine, kulea nalea Shoo ila analeta. Sazingine ananijungua ngoja nikusindikize clinic manake kila siku uko mwenyewe kama mjane, na hivi gari hunaa, pete huna kidoleni unadhalilika Sophia, ulizidi kuchaguaa sanaa. Na mimi namshukuru namwambia bajaji sio ishu ndugu yangu bora unisndikize Mungu tu atanilipia. Hahahaaaa!

Basi namsimulia ujue baba Paula hajawahi muona huyu mtoto, niko so stressed, ananiambia wewe nipe mie huyo mtoto, unahangaika nini, kwanza mimi na yeye sawa yeye katia mbegu tu, ila kwa ubaba mimi ni baba yake zaidi yake, najua alizaliwa lini, saa ngapi, hadi temperature na humidity naijua siku hio, najua uliumwa uchungu masaa mangapi, najua aliota jino lini, najua tangia azaliwe umemnyoa mara ngapi paraa, najua kopo la maziwa anamaliza siku ngapi, pampers anamaliza siku ngapi, Gold zenyewe msaada Uncle Shoo. Ubatizo nilikusaidia kumzuga zuga father asiulize maswali mengi, baba yuko wapi, cheti cha ndoa, coz nalipa zaka fungu kubwa, na jumuiya nashiriki sanaa akambatiza kwa kuniamini kimagumashi. Wakawa wanacheka tu.

Sasa mtoto is so demanding kwa kweli ana suck out your social life. Nikawa busy na mtoto kuja kustuka 3 years have passed. Sina bwana, sija date kitambooo. Mwanaume niliemzoe ni Shoo peke yake. Maana ndo msela wangu na ananifaa si kidogo. Shoo mwenyewe kupata hela kawa mwingiii, kule kujinyima K chuo sasa kafungulia mbwa. Mara yuko na huyu, mara yule hata hajisomii kabisaaa. Ila anampenda Paula sanaaa. Kwa mwezi lazima amtoe out mara 2, akija lazimaa aje na kitu cha Paula, Sikukuu lazima amnunulie nguo. Anajua mamake nimebakia story, baba ndo hamtaki, akaamua tu kujitolea kuwa baba wa hiariii. Ki Paula kilikuwa kinatia hurumaa, mama maisha magumu, nilipe kodi, ninunu chakula, dada wa kazi, bado nijibane kinvest. Uncle Shoo ndo Santa, baby walker asante uncle Shoo, gold asante uncle Shoo, Tanzanite asante uncle Shoo. Nguo za bei asante uncle Shoo.

Katikati hapo nikajaribu kudate watu kadhaa, sema ndo ukiwaambia umezaa kama umejipaka mavi vile, hakutafuti tenaaa. Mwingine akijua umezaa anataka akuchune yeye sasa si huna ujanja. Khaaaa. Mwingine nakupenda ila kumpenda mwanao siwezi. Mwingine unamkaribisha kwako ila anavomuangalia Paula sasa, very impatient. Anashindwa kuelewa kuwa yule mtoto hana uelewa wa anachokifanyaaa. Nikaona stress nyingi sanaa, nikajikalia tu. Na baba Paula alioa nikasikia kabisaa, sema kwa nilipotoka kulikuwa mbali sanaa kusikitika jioni hio.

Mara siku hio kama masihara Shoo akaniambia bwana nimehangaika sanaaa ila naona sifiki kokote, nimewaza sanaa sanaaa nikaona bora nikuoe seriously niwe baba Paula. Yaani wanawake wote nashindwa kudevelop bond nilio nayo na wewe na Paula. Nimejitahidi sanaa lakini mshaniingia rohoni. Sazingine nawaza mambo yanitie hasira tu ilimradi niwapotezee kama ulinikataaa, nilianza mimi kukutaka ukanikataa, sasa umedoda why nile makombo ila moyo nao unamaamuzi yake. Sawa nakuwa na wadada wengine but it is just sex, it never feels as a home kama nikiwa na nyie.

Nikasema golden chance never come twice, nikaomba msamaha faster, Shoo nimejutaa, nimejuta makosa yanguuu, kila siku najutaaa, ule ulikuwa ujanaa tu, umri ulikuwa mdogo nilikuwa sijayaona ya duniaaa. Nashukuru kweli unavonijali na Paula kwa kweli kabisaa Mungu ananionaa, katika maisha yangu na wanaume woote niliotembea nao hamna mwenye utu kama wewe. Basi tu zege ukishalikoroga halirudi kuwa cement bt ningekuwa chuo nachagua upyaa ningekuachagua wewe. Nikamaliza Niko tayari kwa ndoa. Khaaaaaa! Nichelewe tenaaa. Mjini mipango.

Akchimba biti japo ananioa our bond should be special sio nije nimbadilikie huku mbele, yeye kaona the best of me at my worst moments, na mimi i should always look the best in him always. Tukakubaliana katika ndoa yetu tusi ishi kwa kuhesabiana mabaya na kushikilia hilo hilo baya but tuwe watu wa kubring the best in each other every time. Na nimuahidi sitosahau fadhila alionifanyia ya kunioa baada ya kudodaaa. Nika ahidi faster.

Nikawa siamini amaini mambo yanavoendaa. Kweli akanitolea mahari, watu hawakuamini, nimezaa na kuzaana nimeppata mtu msomi ana kazi yake na pesa zake tu. Ikabakia wakimsema Mfupiii. Sasa ufupii ndo nini? Na sio mfupi ni wa kawaida sema mimi ndo mrefuuu. Wakajua atamtenga Paula, walaaa ndo kwanza baada ya harusi nikaenda nae, walidhani atabakia kwa bibi.

Nashukuru Mungu tangia tumeoana mpaka leo hajawahi hata siku moja kuonesha dalili yoyote ya kumbagua, au kumtengaa, hata nyie mlikuwa hamjui kama sio mtoto wa Shoo. Mpaka nikwambie ila kwa kuangalia hwezi jua, tena Paula ndo anapendwa kuliko wenzie, anasema mtoto wetu wa ujanani. Na anamsomesha shule ghali kuliko hata hawa wa kwake. Akitaka chochote Paula Shoo anatoa, Na alivomdekaji na mdaiji angejua yule sio baba yake mbona angekondaa.

Na hajawai kunikumbushaaa oooh uliniacha, ukazaa na mtu mwingine, walaa huo mjadala hatujawahiii kuuongeleaa hata siku moja. Mpaka mda mwingine najisahau kama Paula sio mtoto wa Shoo. Na hata ile nyumba ingekuwa mtu mwingine asingemuandika Paula, ila kamuandika na wenzie kwenye urithi.

Shoo anakeraaa, anaboa mda mwinginee, anakatisha tamaa sio kidogo, yaani inataka moyo kuishi nae, sanaaa. Ila nikikumbuka mema aliyonitendea na anayonitendea kila siku nakuwa nasamehe tu mambo madogo madogo. Sawa katembea na Sonia so what? Sana sana Sonia alikunywa bia maybe kampa laki 2 au 3. Mimi i have a home, kwanguuu, actually Nyumba ya Shoo sijaweka hata 100, i have a husband who takes care of us, anajali wanae wanasoma best schools japo sio kama zenu Solana na Maureen ila kwa mshara wake that is the best he can afford, uwezo tu hanaaa, angekuwa na uwezo angewapeleka hata ulayaaa. He cares tumekula na kuvaaa. And most of my daughetr has a father who cares about her baada ya kuwa ditched by her biological father, and that is not easy to get maisha hayaaa. I am not going to be stupid to push Shoo on the edges and ruin my daughters life AGAIN.

Watu hawanielewi wananiona mjingaa, zobaa, njaa kali, poa tuuu maadamu najua nini nakifanyaa. I wont be asking for the Moon while i already have the stars. Mi na Shoo hapa ni paka kufaa tu. Drama kati yetu ni non stop. And that is what makes us, us! Watu wengine ni ngumu sanaa kutuelewaaaa. That is my story.

Wale wenzie waote wakabakia wametoa machoo, moyoni wanawaza jambo moja liliwashagaza sanaa Paula sio mtoto Shoo!!!!!!!!!!!!?????????? It never crossed their minds . Not even once.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom