eno mic.....kampala no fitina.... type hii ya jisongi huwe nduki tasker mixa kadhaa na shori ladeka deka hivi lajiachia achia lajirusha kule lajibwaga huko basi tu......halitumii nguvu aisee arifu hapo unasahau kama raisi wako JK......
aiseeee.....why zamani?? kila kitu cha zamani kizuri....angalia wanawake wazuri walikuwa zamani,wanaume waoaji walikuwa zamani,viongozi walikuwa zamani....bidhaa nzuri zilikuwa zamani....why zamani?? kunani sasa hivi.....hata JF zamani ilikuwa fureshi..why not now? arrrrrrrg....brudikeni na jisongi hili......kwenye foleni majisongi kama haya aisee.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.