Thanx Elia nawe pia have a great weekend, karibu BALIMI
usisahau tooth pics, siunakumbuka jamaa waliishiwa?
Tukutane pale pa weekend iliyopita sawa.........................
Nimeishaambiwa habari zako sema nilikuwa naona una aibu sana
Na tissue umesahau.......................zilikwisha
Asante Mpiganaji!Nimepitia tu! pole binti
Nimeenda pale MOHANS nimekuagizia katoni nzimaHahaha nikinywa Vice roy aibu zinaisha sijui kwa nn
Asante chetuntu, mabonge yanapatikana huko?