iba hata lisaa limoja uje upate moja baridi mkuuWengine hatuna weekend...kupumzika kwema mkuu..
iba hata lisaa limoja uje upate moja baridi mkuuWengine hatuna weekend...kupumzika kwema mkuu..
siku sita zako, unataka kumpunja tena hizi siku mbili? vibaya hivowoza friday siku ya wanaume
haya basi, dont forget to take her a bunch of rose flowercjakupata hapo
ucjali mkuu ndo hivo especially kama uko kwenye medical field. jtatu asubuhi ntakuletea share yako ya w/endMhhh hivi weekend ndo nini maana mimi ni muendelezo mpaka niamkie jumatatu
wasalimie kaka nipo nabembea hapabebii_nimekwambia nawahi familia home na nilishakuambia mm sina simu sasa sijui utashika nini?.
Mkuu mengine haya ni mateso wewe acha kabisa[/QUOTE]
good_kujua tatizo kuwa ni tatizo ni one step kuelekea kwenye solution,...maadamu umeshajua ni mateso basi jipe muda hata kidogo wa ku break mkuu
Asante mkuu nitaufanyia kazi ushauri huu
wkend ni mwisho wa wikiMhhh hivi weekend ndo nini maana mimi ni muendelezo mpaka niamkie jumatatu
hahahahaha! igwe ongea taratibu basi watu wasisikie maana watakuchekahaya basi, dont forget to take her a bunch of rose flower[/QUOTE]
mapenzi ya kidhungu siyajui na hivyo sijamzoesha_sasa leo nikimpelekea si ndio itakua kesi
ucjali mkuu ndo hivo especially kama uko kwenye medical field. jtatu asubuhi ntakuletea share yako ya w/end
wkend ni mwisho wa wiki
niko hapa njoo igweeeeeeeeeee
ahahhhahaaaaaaaa!..si unajua tena wengine tunatumia computer za ofisni mkuu...joke
yapo sana tu we hujui? ngoja niende kuogeshwa mwenge na wasambaa banaKuna mapumziko au vipi maana mimi sijawahi yaona yaani hizo siku za mwisho wa wiki ndo nafanya kazi sana maana kuna kautulivu fulani hivi