Website Ya NECTA ni mbovu sana

Tata Maestro

Senior Member
Jan 8, 2017
169
175
Website ya NECTA ni kati ya website mbovu kabisa ambazo nimewahi kutumia yaani zaidi ya saa 6 haifunguki.
 
WATU WENGI WANATEMBELEA NECTA KUANGALIA MATOKEO

inaonekana page zao hazifunguki....hiyo ni sababu ni kuwa server inakazi ya kupokea na kutoa http requests ...na kama server hiyo ina uwezo mdogo unaweza usiipate kabisa website yao hadi idadi ya wanaotuma rhttp requests wapungue....na matokeo yapo kwenye database na server husika ipo down..............kwa hivo ukitafuta website ya necta utaletewa ujumbe
1... web server not found
2....request time out
3....too long to respond
lakini hautakuta ujumbe kwamba ""this web page not found""" kwa sababu page ipo ila ipo bize....na inaweza kuwa loading frequently ..................pengine pia waweza pata link toka blog fulani kupata matokeo...bado tatizo litaendelea kwa sababu matokeo yapo kwenye database server ya nacte....sites zote zitaweka reference kwa necta page
 
Sio kweli nakupinga kwenye hiyo inshu ya kwamba matokeo yapo kwenye db, matokeo wanayaextract na kuwa kwenye html files... kila center au shule inakuwa na html file yake.... ndani ya folder la matokeo... nje ya folder kuna index.html file... ambalo hili kazi yake ni kuweka links za shule zote. Na ndio inakuwa default page unapoifungua. Then ndio utaweza kuconnect na folder la matokeo unapoclick shule unayoitaka.
 
How Static
 
Ah,alafu wanao lalamika matokeo ni wavulana wa dar waliofeli,wa mkoani walaa,wanasubiri kuyapata gazetini.
Look,Wavulana wa Dar andamaneni maana clouds ndio imewafelisha,kila siku bash ,mara sjui imoooo,mmevuna mabua dadadeki
 
WATU WENGI WANATEMBELEA NECTA KUANGALIA MATOKEO

inaonekana page zao hazifunguki....hiyo ni sababu ni kuwa server inakazi ya kupokea na kutoa http requests ...na kama server hiyo ina uwezo mdogo unaweza usiipate kabisa website yao hadi idadi ya wanaotuma rhttp requests wapungue....na matokeo yapo kwenye database na server husika ipo down..............kwa hivo ukitafuta website ya necta utaletewa ujumbe
1... web server not found
2....request time out
3....too long to respond
lakini hautakuta ujumbe kwamba ""this web page not found""" kwa sababu page ipo ila ipo bize....na inaweza kuwa loading frequently ..................pengine pia waweza pata link toka blog fulani kupata matokeo...bado tatizo litaendelea kwa sababu matokeo yapo kwenye database server ya nacte....sites zote zitaweka reference kwa necta page
Nacte= NECTA
 
Back
Top Bottom