Website ya dail newys yazidiwa,yawaweka visitors kwenye foleni

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,343
dailynews.jpg

Habali wadau,nilikua nikipitia habari za mtandaoni na ghafla website ya dailynews ikaniambia i have to wait too many request.......shoooosh kwa website serious kama hiyo sikutegemea kitu kama hicho kutokea ilitakiwa wawe wamejiandaa kwa case kama hiyo endapo itatokea hivyo.....nawashauri tu kwa roho safi kabisa waangalia upya technically na specification zinazohitajika ili ku accomodate more than 1000 users kwa pamoja.......na hili tatizo liko sana pia katika website kama NECTA, TCU jamani hebu tue serious sasa kufanya kazi tusiweke maslahi ya kibinafsi zaidi ama ya 10 %

Nawasilisha :A S-omg:
 
Back
Top Bottom