We are Re-Grouping-Satta awapiga vijembe wakongwe

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,153
13,223
Majuzi Rais mteule wa Zambia Michael Chifunya Satta aliwapiga vijembe viongozi ambao wamekaa muda mrefu madarakani kwa kuwachana live kwamba wako tangu enzi za Nyerere na kwamba anachoona sasa ni kwamba wan re-group 9akimaanisha kuwakuta tena madarakani Mu7, Kibaki na Mzim Mugabe) .......Hoja hii ilimfanya Moi KABAKI kuonekana kabisa kupigwa na butaa na kutekewa huku JK akiangua kicheko............:car:

......kwa maoni yangu ni kwamba pamoja na demokrasia kubwa iliypo Zambia huenda ni UTOTO TU WA SATTA........(UGENI madarakani huenda nae akanogewa.....) japo ni kweli kwamba ameWachana LIVE lakini madaraka hususan ya urais ni kama KULA NYAMA YA MTU...........

Nakumbuka wandishi wa habari majuzi walimuuliza Mzim Mugabe

Mr President when are you going to say GOODBYE to your people???......... naye akawajibu
:poa:A S-coffee:WHERE ARE THEY GOING!!!!????????????:yawn::A S embarassed:
 
Utoto wa Sata?? please SATA is over 70 years old; has been there since Kaunda; please explain it to be clear
 
Huyo Satta mwenyewe anaweza kuwa hata baba wa JK halafu yeye ndiyo aanze kuwapiga vijembe vigagula wenzake? Halafu Satta ni Rais kamili sasa na siyo mteule tena kama unvyodai.
 
na ndio maana amesema we are re-grouping......maana wote ni wale wale....kiukweli hata ameshaanza kupinda mgongo.............
 
Back
Top Bottom