mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 759
Jana nilitembelea website ya Haven of peace academy ipo Mbezi beach, dar ilikuwa inaomba donations watoto wapate scholarships ila inaelekea huko USA wanaiongelea kama ni msaada kwa watoto wa tz wakati ni msaada kwa wenye mamillioni kulipia watoto.
Mie sielewi kwa nini wanaruhusiwa kuja kujitajirisha hapa Tanzania
School fees yaanzia dola $5000 kila level inapanda hadi over $7000
Hizi pesa wanafanyia nini je zinasaidia shule za masikini?
Kama ni wa kanisa huko usa kwa nini waje hapa ku charge pesa nyingi au ku target wenye nazo na kutosaidia wanaohitaji misaada?
Kwnye necta shule haimo je haifanyi mitihani ya wote?