Wazungu kumbe nao wana michepuko

Mkuu alituambia wanaume wakizungu hawacheat, tena alitupa na formula ya kumpata mwanaume wa six figure pay cheque.

Lakini na nyie...wanaume wa Kizungu hawachiti kivipi?

Bill Clinton siyo mzungu? Arnold Schwarzenegger siyo mzungu? Donald Trump siyo mzungu? Larry King siyo mzungu?

Waliomwamini nawasikitikia sana.
 
Lakini na nyie...wanaume wa Kizungu hawachiti kivipi?

Bill Clinton siyo mzungu? Arnold Schwarzenegger siyo mzungu? Donald Trump siyo mzungu? Larry King siyo mzungu?

Waliomwamini nawasikitikia sana.
Alitueleza kuna power of ........ ambayo vikolobwezo vyake ni pamoja na education is sexy pia unaolewa na mwanaume kijana mwenye uwezo wa kukutunza hufanyi kazi, viatu unavaa

684-10145-3080698PIGALLE_BLACK_M


Christian Louboutin ambavyo avarage pair ni US$450
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Kipofu hawi mwalimu wa kuongoza njia, yeye mwenye mpaka apapase ndo aihisi hio njia....
 
Kuna rafiki yangu aliolewa na mzungu, alimuopoa mzungu toka kwa mdada mmoja wa kiafrica nchi jirani huko, kweli tuliona kapata bwana wa maisha maana alisema wazungu hawana mambo ya michepuko.Hata miaka haijaisha mitano kamuacha best yetu yupo na mchepuko mwingine wa Africa.

Tena huo mchepuko ulishafanya hadi movie za X ukienda Utube zipo kibao, wakwe wametumiwa picha na hyo mdada alieachwa za X na za huyo hawara wa mume wamesema haina shida, wamempenda mkwe mpya amuache tu mtoto wao.

Sasa najiuliza hawa wazungu vipi? Wanatuchukuliaje sisi waafrica? Kuna mapenzi kweli? Nasikia wazungu wanatumia waafrica vibaya sana.
Kuna rafiki yangu alimpata mwanamke kwenye mtandao, wakaagana jioni wakutane wagegedane sasa kufika jioni huyu demu alimtext mshkaji wangu. Na kumwambia ana bf wake nae anataka kuja kugegedwa yaani huyu demu bf wake shoga kwahio hao wazungu wana mambo ya maajabu utashangaa ukiambiwa.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Sijaiona mwaya. Ila mzungu kanishangaza, angekuwa mwanaume wa Kiafrika ndo kafanya hivyo mbona angekoma; angeambiwa tabia za kitandale, mswahili blah blah blah. Sasa mzungu ni wa uswazi au mwafrika? Kweli tabia haina rangi
Tungeambiwa kila neno baya na vile sisi ni weusi we acha tu
 
Kuna rafiki yangu alimpata mwanamke kwenye mtandao, wakaagana jioni wakutane wagegedane sasa kufika jioni huyu demu alimtext mshkaji wangu. Na kumwambia ana bf wake nae anataka kuja kugegedwa yaani huyu demu bf wake shoga kwahio hao wazungu wana mambo ya maajabu utashangaa ukiambiwa.
Hahahaaaaa....mimi sina hamu na ngoz nyekundu hizo ni mashetani
 
kuna dada aliolewa uk mzungu alikuwa anakuja na marafiki zake anasex nao wote mbele nyuma wazungu wabaya sanaeti
Aaah...kwani vipi jamani leo wadhungu mnawageuka?? Tuwaeleweje sasa au ndio ile sizitaki mbivu hizi...hapa kukikuwa na mfurulixo wa threads za kusifia wadhungu na.kuponda blacks wenzenu kwani imekuwaje??
 
watafute tu ila tumejifunza
alisababisha watu tukaona kuolewa na weusi ni laana
unajua kapotosha wangapi?
Wajinga ndio waliwao, maana na tule tupicha twa hapa na pale basi mkaona mwanaume kapata na nyie mkataingia msituni kutafuta....sijui nini kikiwatokea hadi mka retreat??
 
People are pretty much alike. It's only that our differences are more susceptible to definition than our similarities.
 
khaaa kwani mzungu ndio upuzi gan labda..!? tafauti yetu ipo kwenye rangi tu, ila vingine vyote sawa tena hao ndio washenzi watabia akuna
 
Back
Top Bottom