Wazungu kumbe nao wana michepuko

Sky Eclat una maneno wewe....wanawake kwa kupenda mteremko jamani kuna kesho plz taratibu.

Yaani anawashauri wakafanye ngono ili wapate pesa ndio maana wengine mnapiga hata picha za mgegedo tunaona mjini mipesa mnatesa tu halafu mnakuja kujuta baada ya kuumbuka...hahaaaaa...poor to poor woman.
Eti ninasikia huyo dada alishauri wasichana wanaotaka kuolewa na wanaume wenye pesa wahame Sinza, kwakua wanaume wenye pesa hawakai maeneo hayo, wahame Ubungo, wahame Boko, na pia Tandale kwa Mtogole wote wahamie Masaki na Oyterbay kwenye apartments. Huko ndio powe of p.....y inafanya kazi.
 
Take my word yule mwanaume ni mstaarabu sana lakini pale either ameumizwa sana na Mange ameamua kama mbwai mbwai au anatafuta mtu angalau na yeye afurahi amechoka maisha ya maigizo.
umeona video ya x ya huyo dada ? inatisha ana papuchi sijui ipoje sijui ndo papuchi za marekani zile?
 
Kuna rafiki yangu aliolewa na mzungu, alimuopoa mzungu toka kwa mdada mmoja wa kiafrica nchi jirani huko, kweli tuliona kapata bwana wa maisha maana alisema wazungu hawana mambo ya michepuko.Hata miaka haijaisha mitano kamuacha best yetu yupo na mchepuko mwingine wa Africa.

Tena huo mchepuko ulishafanya hadi movie za X ukienda Utube zipo kibao, wakwe wametumiwa picha na hyo mdada alieachwa za X na za huyo hawara wa mume wamesema haina shida, wamempenda mkwe mpya amuache tu mtoto wao.

Sasa najiuliza hawa wazungu vipi? Wanatuchukuliaje sisi waafrica? Kuna mapenzi kweli? Nasikia wazungu wanatumia waafrica vibaya sana.
toka lini you tube wanaonesha picha za X kajipange tena chakubimbi halafu uje na data za kweli
 
umeona video ya x ya huyo dada ? inatisha ana papuchi sijui ipoje sijui ndo papuchi za marekani zile?
Kibaya zaidi mume akuache atoke na mtu wala si mzuri ki vile wa kawaida sana. Mdada alijisifu kuwa anampa Lance p...sy akijisikia. Maisha yalikuwa too much in the open.
 
Kibaya zaidi mume akuache atoke na mtu wala si mzuri ki vile wa kawaida sana. Mdada alijisifu kuwa anampa Lance p...sy akijisikia. Maisha yalikuwa too much in the open.
kumbe mzungu muharibifu jamani
si angetafuta mzungu mwingine?
 
yaani mzungu sijamuelewa kabisa umeona video ya mke mpya?
Sijaiona mwaya. Ila mzungu kanishangaza, angekuwa mwanaume wa Kiafrika ndo kafanya hivyo mbona angekoma; angeambiwa tabia za kitandale, mswahili blah blah blah. Sasa mzungu ni wa uswazi au mwafrika? Kweli tabia haina rangi
 
Back
Top Bottom