Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,438
- 1,026
(i)UKINIPIGA unanionea,UKINIACHA unaniogopa,UKINISAIDIA unajipendekeza. (ii)Kama kuna foleni mbili zinaelekea sehemu moja na ukaona mstari uliopo wewe hauendi haraka,ukihamia mstari mwingine,ule mstari ulioukimbia huanza kwenda haraka kuliko ule uliohamia. (iii)Je wajua kwamba binadamu anaweza kufa haraka kwa kukosa usingizi kuliko kwa kukosa chakula? (iv)Na kwa taarifa yako,ndizi sio tunda bali ni natural herb katika mwili.