Wazo la Leo: Aliyeumwa na Nyoka...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
40,000
Tatizo siyo DP World, tatizo ni kumbukumbu zetu. Sababu zinazotolewa ni zilezile na serikali inayotoa ni ya Chama kilekile;

  • NBC
  • TANESCO
  • ATC
  • TRC
-NUDA

Mwisho wa siku tukajikuta tunarudisha mikomoni mwa "Wazalendo!"

Hili la bandari ni majaribio yaleyale ya kushindwa kwetu? Mkataba Umeambatanishwa chini.
 
Attachments

  • Intergovenmetal agreement TZ - Dubai AZIMIO LA BANDARI_230606_205947.pdf
    2.2 MB · Views: 22
MFUMO katiba!

Kama mfumo wa katiba ni mbovu Bas mkono wa chuma na damu ndio utatumika way foward hakuna namna!!

Naona na sheria mpya zinatungwa ku suport hayo!!

Mara maafisa usalama kutoshtakiwa,mara viongozi kuzikwa Dodoma wote tena makaburi yanayofanana!

Maandalizi haya ni ya elimination method of solving simultaneous equation!!

Maoni huru haya!!
 
Tusijidanganye tatizo siyo uarabu wao...huko ni kuwa na ubaguzi wa rangi...ni Sawa na wao kutuambia tumeshindwa kwa sababu sisi weusi...yaani kama DP World ingetoka Uingereza tungeshangilia kwa sababu ni wazungu...mbona wazungu wenyewe wamewapa mikataba haohao DP World? Tatizo ni wale wadudu wanaoleta ugonjwa wa ufisadiasis maximus.
 
Una hakika mikataba waliyosaini DP World Uingereza ni ya hovyo kama ilivyo hapa kwetu? muhimu tambua tu, ujinga wa msaliti wetu sio universal.

Hivi wewe kwa akili zako timamu unaweza vipi kutoa "Exclusive Rights" kwa mgeni anayekuja kuwekeza nchini kwako?

Yani unamuacha mgeni ndio awe bosi wako wewe mwenyeji, huu kwangu sio ujinga tu, ni ujinga unaoambatana na laana, elimu ya huyu msaliti lazima ichunguzwe, anaweza kuwa alighushi vyeti, sasa nina mashaka nae sana.
 
Tusijidanganye tatizo siyo uarabu wao...huko ni kuwa na ubaguzi wa rangi...ni Sawa na wao kutuambia tumeshindwa kwa sababu sisi weusi...yaani kama DP World ingetoka Uingereza tungeshangilia kwa sababu ni wazungu...mbona wazungu wenyewe wamewapa mikataba haohao DP World? Tatizo ni wale wadudu wanaoleta ugonjwa wa ufisadiasis maximus.
Ndo iwe Bandari zooote nchi nzima na kwa mkataba usio na ukomo?
 
Ndo iwe Bandari zooote nchi nzima na kwa mkataba usio na ukomo?
Sasa hapo tatizo ni DP World? Mtu amber kupangisha chumba cha duka wewe mwenye nyumba unampa nyumba nzima na cha uani wewe ubakie na sebule tu? Tatizo ni mpangaji..DP World ni mabepari...asili ya ubepari ni unyonyaji...
 
MFUMO katiba!

Kama mfumo wa katiba ni mbovu Bas mkono wa chuma na damu ndio utatumika way foward hakuna namna!!

Naona na sheria mpya zinatungwa ku suport hayo!!

Mara maafisa usalama kutoshtakiwa,mara viongozi kuzikwa Dodoma wote tena makaburi yanayofanana!

Maandalizi haya ni ya elimination method of solving simultaneous equation!!

Maoni huru haya!!
Na sikukuu ya Magufuli wanatuondoa kwenye tension ya ubwege wao wa kuanza nchi kwa andazi... kwakua wanajua watz walimkubali Magufuli
 
Tatizo siyo DP World... tatizo ni kumbukumbu zetu... Sababu zinazotolewa ni zilezile na serikali inayotoa ni ya Chama kilekile...

NBC
TANESCO
ATC
TRC
UDA

Mwisho wa siku tukajikuta tunarudisha mikomoni mwa "wazalendo"...

Hili la bandari ni majaribio yaleyale ya kushindwa kwetu?

Mambo yale yale. Kila anayekuja anataka kuacha eneo lake kujidai.

Ni kweli kabisa kama mambo yanaenda hivi, ipo siku tutapigwa mnada
 
Back
Top Bottom