Wazo binafsi kuhusu TRA..!!?

Kayoka

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
2,239
1,884
Ndugu wanaJF napenda kutoa ushauri wa bure kwa mamlaka ya mapato Tanzania (tra) kuhusu kukusanya kodi tena ni nyingi kwa wamiliki wa nyumba za hosteli za wanafunzi wa vyuo na sekondari. Níkirejea tu hapa St. Augustine university of tz (saut) mwanza kuna hosteli takribani 200 zinazopangisha wanafunzi kwa kodai ya laki 4 hadi mil. 1.20 kwa kila chumba na ziko full kujaa wanafunzi. Tra licha ya kung'ang'inia kodi za wafanyakazi hasa walimu na manesi wanaonaje wajaribu kuweka na kuchukua mapato mengine toka kwa hawa wamiliki wa hizi hosteli ili kuinua mapato ya taifa letu..!?
Naomba kuwasilisha kwenu.!!?
 
Nikiwa kama mpangaji wa hz hosteli hapa mwanza naona mambo na kipato kinachopatikana toka kwenye hz hosteli. Wenye namna ya kuwasiliana na tra toeni msaada waje wachukue mapato ya taifa sio kuwabana wauza bangi na bombe tu hata hawa wamiliki wa hosteli wanapaswa kulipa mapato..!
 
Back
Top Bottom