Waziri wetu mpya wa Fedha

mwanamasala

JF-Expert Member
Jun 20, 2009
248
12
Kalenga MP Dr William Mgimwa said they wanted to be sure that the plan would have impact on the country’s economy, warning if the government failed to draw up a proper budget and control misappropriation of public funds, then the country would not reach far.Dr Mgimwa who is an economist called for improvement in revenue collection, noting: “We only collected 5.7trillion shillings against 10.2 trillion shillings which we spent,” he said

Nimesoma ippmedia website ya tarehe 25/04/12 .Nimecopy hicho kipande na kukipaste hapa!Aliyeandika hiyo habari ni Patrick Kisembo!

Kuna mambo mawili ambayo yanapotosha!
1. Mgimwa sio economist,you can say ni banker wa Kitanzania(ex-NBC).


2.Nimeangalia CV yake ,sijui hiyo Phd ni ya wapi,Mzumbe ? au ni za akina Makanga,Nchimbi?
 
Sasa kapewa nafasi, maana mtu akiwa huku nje inakua rahisi sana kupiga kelele now we want to see him performing...
 
Back
Top Bottom