peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,829
- 21,461
Kwa heshima na taadhima ninamuomba Waziri wa Tamisemi asitishe mafunzo haya kwani katana tija na ni upotevu mkubwa wa fedha Za umma.
1. Mafunzo Haya watumishi wanasafiri kipindi cha sikujua Za mwisho wa mwaka
2. Mafunzo Haya tafanyikie kwenye kila mkoa au kila Wilaya
3. Fedha Za mafunzo Haya zitumike kutengeneza Marwari ya kidato cha kwanza2024.
4. Watalipwa nauli, chakula, posho na usafiri ambapo gharama ni kubwa sana.
Hii imeandaliwa Kwa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka Ili watu Walipe pesa na nia Sio mafunzo.
Mafunzo Haya yangeweza kutokea online Kwa Gharama nafuu.