The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 7,979
- 9,138
Waziri wa TAMISEMI bwana Mohammed Mchengerwa yeye kutwa kucha Kuzunguka Mikoani eti anakabidhi magari na Pikipiki alivyonunua Rais,Je hii ndio kazi ya Waziri?
Just imagine Tamisemi ilivyojaa Madudu,uzembe, kukosa ubunifu nk ila bwana Waziri yeye hayo hayaoni na hajishughulishi nayo isipokuwa tuu kugawa magari. Toka siku wamemaliza Bunge alianza kugawa magari Kwa Wabunge yaani ambulance na from there amekuwa akitumia Kodi za Wananchi Kuzunguka huko na kule mikoani kugawa magari.
Bwana Mchengerwa hii sio sawa unawakosea walipa Kodi,Kuna mambo ya msingi ya kushughulika nayo huko Tamisemi na ambayo ni kero Kwa Wananchi kuliko jambo hili ambalo haliwasaidii Kisiasa Wala halimjengi Rais kama wewe unavyodhani sana sana Inatoa picha kwamba Serikali inathamini magari kuliko shida zao za Afya,Elimu,maji na barabara.
View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1735255428647264303?t=hH4WXeTNT3Fh9zEcDBH5XA&s=19