Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu atengua Uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi wa NSSF

Ni lazima tukubali uharaka wa kusahihisha kosa hili unatia moyo; hakuna hata kuacha giza liingie. Ingekuwa ni madhara makubwa kama angeachwa kuendelea huko. Lakini kama suala ni la uraia hili halipaswi kuishia kwenye nafasi yake huku alikotengeliwa; vipi huko kwingine? Kuna maswali yanahitaji majibu na yajibiwe haraka vile vile kwa usahihi.
Rangi ya mikono ya Mama Mshumbuz inaonekana ni tofauti ni uso wake... Ebu mshauri shemeji yako aongeze bidii ya kunywa maji ili awe mweupe mwili mzima
 
‘’Success is the result of good judgment. Good judgment is usually the result of experience. Experience is usually the result of bad judgment.” – Anthony Robbins
 
Rangi ya mikono ya Mama Mshumbuz inaonekana ni tofauti ni uso wake... Ebu mshauri shemeji yako aongeze bidii ya kunywa maji ili awe mweupe mwili mzima
Rangi ya mtu mwingine wewe inakuhusu nini au mimi inanihusu nini? au rangi yako inamhusu nani?
 
Total mess.

Mama is an illegal immigrant from Uganda.

Mama is an IT expert, with no executive experience in retirement fund area.

Mama's appointment contravened regulatory bodies laws which preclude appointments of executives to institutions they previously oversaw. NSSF is regulated by SSRA.


Kwa nchi hii ilivyo na magumashi basi usishangae kusikia huyo Dr. wangwe alimpigia kura Magufuli katika uchaguzi wa 2015! Kweli Magufuli ni rais wa Magumashi!
 
Sisi ni binadamu kukosea ni kawaida cha msingi ni kukubali kujikosoa na kukosolewa
 
Mawaziri na makatibu wa wakuu katika wizara tulieni na muzielewe vizuri wizara zenu msikirupuke katika kufanya kazi
 
Mhh, inawezekanaje haya? Yaani Waziri anafanya try and error kwenye masuala muhumui kama haya? Hivi inawezekana Serikali kutokuwa na taarifa za kutosha za mteuliwa kabla ya uteuzi? Nachoka kabisa!

Anyway, heri nusu shari kuliko shari kamili.


Umesahau kuwa ni waziri wa kurithiwa toka awamu yenye mwendo wa kukurupuka
 
Mkurupuko at work. Yani utafikiri tunaigiza.
Ila hongera sana JF. Kwasababu mara baada ya uteuzi watu walushaanza kujadili na kuponda.
 
Having positive expectations from magufuli's regime is like to boil an empty vessel expecting to have soup
 
Back
Top Bottom