Waziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko Sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango, kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto wengi mpaka wengine wanalala nje kwa kukosa nafasi, pia huyu mama amekuwa akiwatumia hawa watoto kama investment ili kupata pesa kutoka kwa wafadhili mbalimbali.
Baadhi ya maofisa wa ustawi wa jamii wamekuwa wakihongwa na huyu mama ili kuficha yanayoendelea, last week kuna mtoto anadaiwa kufariki kwa kukosa hewa safi
Baadhi ya maofisa wa ustawi wa jamii wamekuwa wakihongwa na huyu mama ili kuficha yanayoendelea, last week kuna mtoto anadaiwa kufariki kwa kukosa hewa safi