Waziri Silaa ashtukiza ofisi za ardhi Dodoma akuta amna watu

kalacha mateo

Senior Member
Sep 27, 2021
118
237
Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa leo saa moja asubuhi amefanya ziara ya kushtukuza katika ofisi za kitengo cha Ardhi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya kujionea hali ya utendaji kazi ikiwemo wa Watumishi kuwahi kazini.

Waziri Jerry amewahimiza Watumishi wa jiji la Dodoma na Tanzania kwa ujumla kuzingatia kufika ofisini kwa muda uliopangwa na inapofika saa moja na nusu asubuhi huduma zianze kutolewa na sio ndio Watumishi waanze kuingia ofisini wakati huo.

=====

VIDEO: Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa leo saa moja asubuhi amefanya ziara ya kushtukuza katika ofisi za kitengo cha Ardhi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya kujionea hali ya utendaji kazi ikiwemo wa Watumishi kuwahi kazini.Waziri Jerry amewahimiza Watumishi wa jiji la Dodoma na Tanzania kwa ujumla kuzingatia kufika ofisini kwa muda uliopangwa na inapofika saa moja na nusu asubuhi huduma zianze kutolewa na sio ndio Watumishi waanze kuingia ofisini wakati huo.
 
Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa leo saa moja asubuhi amefanya ziara ya kushtukuza katika ofisi za kitengo cha Ardhi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya kujionea hali ya utendaji kazi ikiwemo wa Watumishi kuwahi kazini.

Waziri Jerry amewahimiza Watumishi wa jiji la Dodoma na Tanzania kwa ujumla kuzingatia kufika ofisini kwa muda uliopangwa na inapofika saa moja na nusu asubuhi huduma zianze kutolewa na sio ndio Watumishi waanze kuingia ofisini wakati huo.

View: https://twitter.com/millardayo/status/1700081006240272500?s=20

Huyu chizi wako wako site yeye anatakaje huyo bwege?
 
🎶🎺mdogo mdogo eee.... mwendooo
ayeyaaaaa.... mwendoooo
tutafika eee ... mwendoooo 🎶 🎺

Karibu Waziri kwenye Wizara yetu.
 
Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa leo saa moja asubuhi amefanya ziara ya kushtukuza katika ofisi za kitengo cha Ardhi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya kujionea hali ya utendaji kazi ikiwemo wa Watumishi kuwahi kazini.

Waziri Jerry amewahimiza Watumishi wa jiji la Dodoma na Tanzania kwa ujumla kuzingatia kufika ofisini kwa muda uliopangwa na inapofika saa moja na nusu asubuhi huduma zianze kutolewa na sio ndio Watumishi waanze kuingia ofisini wakati huo.

View: https://twitter.com/millardayo/status/1700081006240272500?s=20

Huyo bwana mdogo anapenda kiki sana na zitamponza!
 
Afanye kazi aachane na hayo maigizo, kama kweli alikua na Nia ya kuwahimiza kuwahi kazini angeenda bila camera, kuna migogoro mingi Sana ya ardhi inamsubiri huko akijichanganya ataliwa kichwa mapema
 
Huyo Millard alijuaje kama leo jamaa anashtukiza.

Okay, ila taasisi na ofisi nyingi sana za serikali watu wanafanya kazi kwa mazoea.
 
Kiki za kishamba sana, huu ujinga hata Kigwangalla alifanya wakati wa dhalimu na hakupata matokeo yoyote chanya. Kwani hakuna attendance devices?
 
Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa leo saa moja asubuhi amefanya ziara ya kushtukuza katika ofisi za kitengo cha Ardhi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya kujionea hali ya utendaji kazi ikiwemo wa Watumishi kuwahi kazini.

Waziri Jerry amewahimiza Watumishi wa jiji la Dodoma na Tanzania kwa ujumla kuzingatia kufika ofisini kwa muda uliopangwa na inapofika saa moja na nusu asubuhi huduma zianze kutolewa na sio ndio Watumishi waanze kuingia ofisini wakati huo.

View: https://twitter.com/millardayo/status/1700081006240272500?s=20

Hiyo si ni ofisi yake? Anamshitukiza nani tena? Upuuzi
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa leo saa moja asubuhi amefanya ziara ya kushtukuza katika ofisi za kitengo cha Ardhi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya kujionea hali ya utendaji kazi ikiwemo wa Watumishi kuwahi kazini.

Waziri Jerry amewahimiza Watumishi wa jiji la Dodoma na Tanzania kwa ujumla kuzingatia kufika ofisini kwa muda uliopangwa na inapofika saa moja na nusu asubuhi huduma zianze kutolewa na sio ndio Watumishi waanze kuingia ofisini wakati huo.

View: https://twitter.com/millardayo/status/1700081006240272500?s=20

Watu wameenda field, aanze na wabunge kwanza ambao hawana mchango
 
Serikalini Hapana msamihati wa time management, muhimu ni kufika ofisini hata ukifika saa saba mchana( Irresponsible government)/Shamba la bibi ni mwendo wa Kujilia tu..
Anaweza kufika na akaishia kucheza game kwenye pc, muhimu kutimiza majukumu yako
 
Back
Top Bottom