Waziri Nape hili la "Jamii Namba" nakupa tano. Watanzania sasa kuwa na ID namba moja tu kwenye huduma za kijamii

Hongera waziri Nape na wataalamu na NMB watanzania wanataka vitu kama hivyo vinavyoonekana na vyenye impact kwenye maisha ya Kila siku

Niwapongeze Sana NMB Kwa kujionyesha wazi kuwa wenyewe Sio benki tu inayojali wateja Wao lakini inayojali watanzania wote wateja Wao au la Hiki wanachofanya kwenye hili ni ushahidi wa wazi

Asanteni sana NMB
 
NMB wanastahili sifa
 
View attachment 2884573
Kwa ushirikiano na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, leo tumeianza hatua mpya katika safari ya kuimarisha uchumi wa kidijitali wa Taifa letu

View attachment 2884575
Miongoni mwa mambo ambayo tumeingia makubaliano kushirikiana na Wizara, ni pamoja na:

Uundwaji wa “Jamii Namba” Hii ni namba maalum kwa Mtanzania itakayojumuisha huduma mbalimbali, yaani badala ya kuwa na namba tofauti tofauti, (Leseni, Passport, Nida) tunaweza kuwa na namba moja itakayo tambulika katika nyanja hizi zote.

View attachment 2884576

Jamii Data Exchange Platform

Huu ni mfumo ambao utaundwa kuunganisha mifumo yote ya kiserikali hasa ile ya malipo ili iweze kuwa na mahusiano na uwezo wa kupata taarifa kutoka sehemu moja au nyingine kiurahisi zaidi.

Uundwaji wa mifumo imara zaidi ya malipo mtandaoni ambayo inawezesha huduma salama na rahisi za miamala ya kidijitali kwa wananchi kila wanapo pata huduma sehemu tofauti za serikali.

View attachment 2884577
Kutumia wataalam wa Benki ya NMB katika kuunda na kuboresha mifumo, kwani tunajivunia kuwa na vijana wazalendo wenye utaalamu mkubwa juu ya maswala ya Tehama.

Benki ya NMB itatoa jukwaa la kufanyia majaribio (pilot platforms) ya mifumo itakayoundwa, ili kuhakikisha ubora na ufanisi kabla ya kuanza kutumika.

View attachment 2884587

Makubaliano haya yamesainiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari – Mohammed Khamis Abdulla na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB - Bi. Ruth Zaipuna, wakishuhudiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari – Mhe. Nape Moses Nnauye.
Hiki sio kitu kipya,tena kimechelewa, na Jina sio jamii namba bali namba ya nida.
 
Naona kunakuja upigaji mpya hapa.
Kuna watu hiyo Leseni hawana, hiyo NIDA hawana pia Passport ni ishu kubwa kwa mTanzania kuipata wakati ni haki haki yake.
Sasa hii mpya kutakuwa na zile milolongo ya nenda serikali ya mtaa huko nako upigwe kwenye kuandikiwa na kuwekwa muhuri.
Karatasi zenyewe hawana hadi ukanunue na kopi ukalipie yaani ni ujinga mtupu kwenye haya mambo.
Cheti yankuzaliwa wengi ndio hata hawana.
Hapo kwenyenutoajinwa cheti kuzaliwa ni mizengwe tupu.
Hivi nini kimeguwa kigumu maeneo mengi ya utoaji huduma.??
 
Watanzania tuache uoga na kutishana
 
Kichwa chako hakiko vizuri cheti Cha kuzaliwa Sasa hivi kinapatikana mtoto akuzaliwa tu usiwe mtumwa wa historia wewe ukiyezaliwa porini mama akijifungua akiwa anaokota Kuni porini sio hospitali Sasa hivi mzazi akijifungulia hospital anaondoka na cheti Cha kuzaliwa Cha mtoto

Mnaisumbuka ni nyie mliozaliwa porini mama mzazi akiwa anatafuta Kuni au kawazaa shambani akilima sio hospitali
 
View attachment 2884573
Kwa ushirikiano na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, leo tumeianza hatua mpya katika safari ya kuimarisha uchumi wa kidijitali wa Taifa letu

View attachment 2884575
Miongoni mwa mambo ambayo tumeingia makubaliano kushirikiana na Wizara, ni pamoja na:

Uundwaji wa “Jamii Namba” Hii ni namba maalum kwa Mtanzania itakayojumuisha huduma mbalimbali, yaani badala ya kuwa na namba tofauti tofauti, (Leseni, Passport, Nida) tunaweza kuwa na namba moja itakayo tambulika katika nyanja hizi zote.

View attachment 2884576

Jamii Data Exchange Platform

Huu ni mfumo ambao utaundwa kuunganisha mifumo yote ya kiserikali hasa ile ya malipo ili iweze kuwa na mahusiano na uwezo wa kupata taarifa kutoka sehemu moja au nyingine kiurahisi zaidi.

Uundwaji wa mifumo imara zaidi ya malipo mtandaoni ambayo inawezesha huduma salama na rahisi za miamala ya kidijitali kwa wananchi kila wanapo pata huduma sehemu tofauti za serikali.

View attachment 2884577
Kutumia wataalam wa Benki ya NMB katika kuunda na kuboresha mifumo, kwani tunajivunia kuwa na vijana wazalendo wenye utaalamu mkubwa juu ya maswala ya Tehama.

Benki ya NMB itatoa jukwaa la kufanyia majaribio (pilot platforms) ya mifumo itakayoundwa, ili kuhakikisha ubora na ufanisi kabla ya kuanza kutumika.

View attachment 2884587

Makubaliano haya yamesainiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari – Mohammed Khamis Abdulla na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB - Bi. Ruth Zaipuna, wakishuhudiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari – Mhe. Nape Moses Nnauye.
GOOD NMB
 
Mi naona ni kama fursa kila kukicha zinakuwa created. Tumekuwa na mambo yasiyoeleweka mfano ni kujebgwa barabara kwa kiwango cha Lami na ndani ya muda mfupi kuvunjwa kupanuzi.
Hapa kuna jamii namba wakati huo huo mradi wa NIDA unagharimu hela. Je ni kila waziri au kiongozi anakuja na wazo lake? Ikitokea mwingine akija wakati huo huu unaendelea kwa mikataba iliyosainiwa anaanzisha mwingine.
USHAURI.
1. Kuwe na malengo ya ki nchi na vipaumbele ambavyo kiongozi wa kisiasa akija aje kutekeleza.
2. Mipango ipangwe ya muda mrefu sio kwa dharula
 
Back
Top Bottom