Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 417
Kwa mtazamo wangu kauli ya waziri wa mambo ya ndani S V NAHODHA ya kusema kuwa maandamano yanawachelewesha kufanya kazi za ujenzi wa taifa ni uzembe wa mkubwa wa kufikiri uliojiumba katika akili yake.
Hivi kundi la wanaoandamana mara moja kwa wiki lina ukubwa gani kuliko kundi la watu wasio na ajira waliozagaa kila pembe ya nchi. Hivi ni taifa gani linalojengwa kwa sasa wakati nchi nzima inakabiliwa na mgao mkubwa wa umeme.
Wakati huo mbumbumbu wa CCM wanashangilia kwa kuunga mkono upuuzi..ole wenu! Bado kitambo kifupi sana ghadhabu za mungu zitawashukia.