Waziri Mwijage akiri serikali ilikuwa inaficha: Dangote wanataka gesi ya bure, hawatawapa

Sijawahi kuamini kuwa muislamu ni bora zaidi ya mkristo au kinyume chake .....haya mambo ya udini ni mabaya maana hats shuke tumefundishwa Na walimu wa dini zote........
binafsi nimeacha siku nyingi kuamini kuhusu dini isipokuwa naamini katika mambo haya:-
1. Naamini akilini mwangu na moyoni mwangu kuwa Mungu yupo
2. Nihakikishe kuwa ninachukia na kuachana na uovu wote siku zote za maisha yangu
3. Nitende haki, nitetee haki, nisimamie haki maishani mwangu mwote
4. Niwapende binadamu wote bila ya ubaguzi, niwe tayari kuwasaidia katika matatizo yao mahali ninapojiweza
5. Niipende kazi na niifanye kwa bidii, kuhakikisha kuwa naifanya dunia hii kuwa makao ya wanadamu kwani kupitia kazi za mikono yangu Mungu atanibariki, naamini kuwa kwa kufanya haya Mungu atanipenda na watu watafurahia uweppo wangu hapa duniani.
 
Dahhhh hili la membe linawezekana ngoja tuone picha sasa rpc makond yuko upande gani maana gsm wana gari kama mia 4 zina tender ya kusafirisha cement na kiwanda kimebuma dahh
 
Jpm anaondoa watendaji wote kwenye uislam na kuweka anaotaka has a Wa g.

Huu ni udini tu. mkuu ni mdini sana na ana remotiwa na Vatican through pengo. Fatilia.

Eti kwavile ni alhaj dangote na Vatican hawafaidiki nayewanamwekea mizengwe mingi.

Hawataki MTU asiye wao awekeze. Atafaidi.

Bakhresa mwenyewe walitaka kumchinjia majini lakini wakakuta kina kirefu wao watazama
Why? Bse is a Muslim
Think twice.....

Issue kwavile kimejengwa Mtwara kwa waislamu wengi.

Wakamuachia

Visa tu. Ila wamechelewa jk keshanaliza. Kiwanda miaka 99 kipo lazima kizalishe dangote tajiri kubwa. Ataendesha hata kwa generator.
Use you comon sense
Ni kwamba umetoa uharo wako hapo juu sabanu unaumwa tumbo!!? Au umeamua kuharisha tu!?
 
Mkapa ndiye mshauri wa Huu ushenzi wote unaoendelea.........

Kambi si ya Magufuli na Kikwete.....

Kambi ni ya Mkapa na Kikwete..........

Mkapa anataka kuwa wealthiest retired President than Kikwete na anasahau maslahi ya wananchi na anaona kumiliki hisa kwenye kiwanda cha simba cement na vizimba vya makaa ya mawe ni muhimu kuliko cement kuuzwa 10500........

Mawazo yake simenti ipande apate faida kwenye simba cement kama alivyoleta taaruki kwenye sukari.........

Kuna Majitu wana Roho mbaya nchi hii basi tu.........
 
Jpm anaondoa watendaji wote kwenye uislam na kuweka anaotaka has a Wa g.

Huu ni udini tu. mkuu ni mdini sana na ana remotiwa na Vatican through pengo. Fatilia.

Eti kwavile ni alhaj dangote na Vatican hawafaidiki nayewanamwekea mizengwe mingi.

Hawataki MTU asiye wao awekeze. Atafaidi.

Bakhresa mwenyewe walitaka kumchinjia majini lakini wakakuta kina kirefu wao watazama
Why? Bse is a Muslim
Think twice.....

Issue kwavile kimejengwa Mtwara kwa waislamu wengi.

Wakamuachia

Visa tu. Ila wamechelewa jk keshanaliza. Kiwanda miaka 99 kipo lazima kizalishe dangote tajiri kubwa. Ataendesha hata kwa generator.
Sijawai kuonana na mtu anayefikiriwa kuwa ni wamwisho kwa akili duniani nimekuonawewe.nchi yetu haina udini kwenye katiba
 
Jpm anaondoa watendaji wote kwenye uislam na kuweka anaotaka has a Wa g.

Huu ni udini tu. mkuu ni mdini sana na ana remotiwa na Vatican through pengo. Fatilia.

Eti kwavile ni alhaj dangote na Vatican hawafaidiki nayewanamwekea mizengwe mingi.

Hawataki MTU asiye wao awekeze. Atafaidi.

Bakhresa mwenyewe walitaka kumchinjia majini lakini wakakuta kina kirefu wao watazama
Why? Bse is a Muslim
Think twice.....

Issue kwavile kimejengwa Mtwara kwa waislamu wengi.

Wakamuachia

Visa tu. Ila wamechelewa jk keshanaliza. Kiwanda miaka 99 kipo lazima kizalishe dangote tajiri kubwa. Ataendesha hata kwa generator.

Simply pathetic!!! Na wewe unajiita GT au umekosea jukwaa?
 
stupid kabisa... yaani kila kitu nyinyi udini tu.
 
Ukweli kuhusu sakata la dangote
1.nchi yetu haina uwezo wa kusuply makaa ya mawe kulingana na mahitaji ya kiwanda cha dangote kwa siku.

2.gharama za makaa ya mawe kuyanunua na kuyasafirisha kutoka afrika kusini mpaka kiwanda cha dangote mtwara ni nafuu kuliko hapa nchini kwetu.

3.Nchi yetu haijajiandaa vya kutosha kuwapokea wawekezaji wakubwa kama dangote wenye uthubutu wa kujenga viwanda hapa nchini kwetu.

Ni hayo tu wanajanvi kama kuna nyongeza basi mpo huru kutiririka hapa chini.
 
Jpm anaondoa watendaji wote kwenye uislam na kuweka anaotaka has a Wa g.

Huu ni udini tu. mkuu ni mdini sana na ana remotiwa na Vatican through pengo. Fatilia.

Eti kwavile ni alhaj dangote na Vatican hawafaidiki nayewanamwekea mizengwe mingi.

Hawataki MTU asiye wao awekeze. Atafaidi.

Bakhresa mwenyewe walitaka kumchinjia majini lakini wakakuta kina kirefu wao watazama
Why? Bse is a Muslim
Think twice.....

Issue kwavile kimejengwa Mtwara kwa waislamu wengi.

Wakamuachia

Visa tu. Ila wamechelewa jk keshanaliza. Kiwanda miaka 99 kipo lazima kizalishe dangote tajiri kubwa. Ataendesha hata kwa generator.
lowassa alisema kipaombele chake kama angekuwa rais ni elimu,elimi,elimu.
 
Ukweli unauma mpaka wakosa hoja.

Matusi ya nini! Tujibu kwa hoja tena za greater thinkers

Jpm mkiristo jk muislam. ...
.
Dangote muslim . mengi mkiristo

Je hapa hamna udini?

Be fair like j.k international figure.

Hapa Wa g wanona gere kama walivyo mtoa dr dau nssf kisa
Hapeleki hela Vatican.

Sasa nchi inakabidhiwa wezi.wahujumu uchumi. Fedha zote hazina. Then 60% Vatican(30%deni+30%now). 40% maendeleo
Mtaani wanasema ... Wanaisoma namba.
 
Wakenya wameandaa $100 milion (dola million mia moja) zitakazo tumika kukiahmisha kiwanda kiende kwao kama Dangote atakubali na wameahidi kumpa makaa ya mawe bure kwa kipindi watakachokubaliana na kiwanja bure. Waziri Muhongo yupo right anaposema kuwa itakuwa vigumu kutoa gesi kwa bei ndogo kwa kiwanda kinachomilikiwa na Dangote, swali anajojiuliza ni kuwa jee hivi viwanda vingine itakuwaje. Ni sawa na kuwa na watoto watano halafu waili tu ndio unawanunulia nguo za x-mass unategemea nini kitatokea kwa hawa watoto waliobakia. Hawa viongozi waliomkubalia kuwa watampa gesi bure au ataruhusiwa kuagiza makaa ya mawe toka South Africa walizingatia nini hasa linapofika swala la kutoa haki sawa kwa viwanda vyote. Swala la Dangote kudai kwamba gesi inatoka karibu na kiwanda chake hivyo anadai kwanini auziwe sawa na yule aliyepo Mbeya, hapa ni utalaamuwa wa biashara maana cement ya mbeya inauzwa aghali sana mbeya mjini kulingana na cement hiyoyo na inayotoka kiwanda hichohicho inayouzwa Makambako. Hata hivyo swala hili linazungumzika ni kiasi Ewura wakakokotoa kama wanavyofanya kwenye mafuta maaana bei ya lita moja ya diesel inauzwa bei tofauti Dar-Es-Salaam na mbeya kutokana na umbali ulipo. Kunahaja hili shauri likazungumzwa maana kama nikweli Wakenya wanataka kumshawishi Dangote kuwa wapo tayari kukihamisha kiwanda chote kwa gharama zao, wanachoangalia ni faida ya ajira na mambo mengine sio kwa leo bali miaka ijayo. Tuwazidi akili kama tulivyofanya kwenye swala la bomba la mafuta toka Uganda ingawa mpaka sasa mimi sijui maendeleo yake mpaka sasa. Ninaimani na Rais wetu ataingilia kati kukinusuru kiwanda hiki kikubwa East and central Africa kiendelee kubaki hapa petu na kiendelee kutoa ajira kwa Watanzania.
 
Jpm anaondoa watendaji wote kwenye uislam na kuweka anaotaka has a Wa g.

Huu ni udini tu. mkuu ni mdini sana na ana remotiwa na Vatican through pengo. Fatilia.

Eti kwavile ni alhaj dangote na Vatican hawafaidiki nayewanamwekea mizengwe mingi.

Hawataki MTU asiye wao awekeze. Atafaidi.

Bakhresa mwenyewe walitaka kumchinjia majini lakini wakakuta kina kirefu wao watazama
Why? Bse is a Muslim
Think twice.....

Issue kwavile kimejengwa Mtwara kwa waislamu wengi.

Wakamuachia

Visa tu. Ila wamechelewa jk keshanaliza. Kiwanda miaka 99 kipo lazima kizalishe dangote tajiri kubwa. Ataendesha hata kwa generator.

Nilishasemaga baadhi ya waislamu hawafikirii nje ya box la dini, hebu someni huo mchango wa hapo juu eti kwa vile Dangote na Bakhressa ni waislamu basi utajiri wao na mafanikio yao ni fahali ya dini ya kiislamu. Hapo hapo shida za Dangote na Bakhressa na changamoto zao za kibiashara zinageuzwa kuwa ni shida na changamoto za waislamu. Teh! Teh! Teh!.
 
Hilo swala la Vatican linawezekana ili kutekeleza nwo. Sishangai kwa sababu hata us election results nayo imewahusisha hao hao jamaa kwa kutumia jesuits
 
Jpm anaondoa watendaji wote kwenye uislam na kuweka anaotaka has a Wa g.

Huu ni udini tu. mkuu ni mdini sana na ana remotiwa na Vatican through pengo. Fatilia.

Eti kwavile ni alhaj dangote na Vatican hawafaidiki nayewanamwekea mizengwe mingi.

Hawataki MTU asiye wao awekeze. Atafaidi.

Bakhresa mwenyewe walitaka kumchinjia majini lakini wakakuta kina kirefu wao watazama
Why? Bse is a Muslim
Think twice.....

Issue kwavile kimejengwa Mtwara kwa waislamu wengi.

Wakamuachia

Visa tu. Ila wamechelewa jk keshanaliza. Kiwanda miaka 99 kipo lazima kizalishe dangote tajiri kubwa. Ataendesha hata kwa generator.
Irrelevant and illogical
 
Back
Top Bottom