Waziri Mwigulu Nchemba ndani ya Star Tv

Mkibahatika kumuuliza swali muulize hili:-

Kwenye historia ya maisha yako umefanya mtihani wa darasa la saba mara ngapi miaka ipi?

Swali la nyogeza ikiwa jibu litakuwa (mara moja):-
Wakitokea watu wakathibitisha kuwa walifanya mtihani pamoja nawe kwa mwaka tofauti na huo unaousema je utakuwa tayari kufutiwa vyeti vyako kwa kosa la kulidanya taifa!!!
 
Mkuu jogi twendelee hivyo hivyo ili kuonyesha uzalendo
 
Hivi hili jina uliloandika hapa ndilo lake alilopewa na wazazi au ndilo la daktari!?
 
Hivi hili jina uliloandika hapa ndilo lake alilopewa na wazazi au ndilo la daktari!?
Yaani wazazi wakakosa jina la kumpa mtoto!!? ni kwa ukilaza au kaamua kuwadharau hadharani.

Mifumo ya majina ya wanyiramba inafahamika tena wenyewe wanaizingatia saana!!!!
Huyu nesi atakuwa na tuhuma nzito kwa wababa wenye ubongo.
 
Laazima aseme ukweli
Nipo hapa Ofisini naona anarikaruka na huyu mwandishi Joyce Mwakalinga naona uwezo wake wa kuhoji ni mdogo sana.

Hawa Waandishi nadhani huwa wanapewa maswali ya kuuloza na tena yaliyoambatana na mipaka ya kuuliza.

Huyu Madelu inatakiwa apewe/aalikwe na Tido Muhando pale Azam Tv.
Laazima aseme ukweli

Laazima aseme ukweli
 
Back
Top Bottom