Mkweli mwaminifu
Member
- Feb 7, 2012
- 89
- 24
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba atakuwa live katika kituo cha Star Tv kwenye kipindi cha tuongee asubuhi dakika chache zijazo.
Usikose kufuatilia
Usikose kufuatilia
Hiyo ni mkuu wa mkoa, yule atakuwa anafahamu mengi sanaAtueleze juu ya Scorpion.
Huu mchepuko wako umeshapewa uwaziri?shumbib