Waziri Mwigulu: Dola sio hela yetu kwani hatuizalishi wala Hatuprint. Tuna akiba ya Dola Bilioni 5.2

Mchumi mbobevu toka nduguti.
Mahesabu ya mnadani huko kwao ndio leo anadiscuss uchumi wa duniani.
Ndo zinabakia blaa blaah tu na porojo kibao.
Huyo ni wa kupeleka wizara ya mbuzi na kilimo huko atafaa.
Hapo mmemuonea tu kumpa hicho cheo.
 
hii ndio shida yakuwapa vijana wadogo wasio na exposure majukumu makubwa yakuongoza na kuamua hatma ya watu zaidi ya mil 60.

Tuna shida kubwa sana kwenye mifumo yetu kiasi cha kuruhusu aina hii ya watu kukalia nyadhifa nyeti.

Sasa Waziri wa fedha baada ya kutoa suluhu na yeye analalamika kama mimi mtu wa kawaida nilioko huku Tandika.
 
Kiongozi upo kutoa solution na sio kulalamika, tunategemea Waziri wa fedha aje na mikakati na sio malalamiko kana kwamba na yeye ni raia wa kawaida sana.
 
Mchumi mbobevu toka nduguti.
Mahesabu ya mnadani huko kwao ndio leo anadiscuss uchumi wa duniani.
Ndo zinabakia blaa blaah tu na porojo kibao.
Huyo ni wa kupeleka wizara ya mbuzi na kilimo huko atafaa.
Hapo mmemuonea tu kumpa hicho cheo.
Waziri pamoja na kuwa na PhD anongea vitu vya kawaida sana labda vy form 2C .
 
Cheti chenyewe che udakatri cha kudesa, hata hakukitetea! Hicho cheo hakimfai! Anaongea kama anaongea na watoto wa shule za vidudu, tena zile za St Kayumba! Huyu ni wa kupumzisha! Jinga kabisa!
 
Back
Top Bottom