Duh, Mulugo analiaibisha Taifa, Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe.... nani amemuandalia huyu hii hotuba? Mungu wangu, anakuwaje waziri wa Elimu huyu ilihali yeye mwenyewe Elimu yake ina walakini? Hawezi hata kulocate Zimbabwe katika ramani ya dunia?
hivi huyu dini gani??maana najua wakristo wooote nchi hii wana elim nzuri tuu,haiwezekana jambo dogo kama hili likamtatiza,,,,,,
Last edited by a moderator: