Waziri mkuu Mizengo Pinda kawakana Chadema mgogoro wa Madiwani

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,972
32,374
Kumbe Mbowe na Dr Slaa waliofuata Pinda Dodoma, kuomba Muafaka!
Kawakana kasema CDM wametunga hayo maneno kuwa tumekubaliana na CDM kuanza mazungumzo ya mgogoro wa Madiwani wa Arusha.
Pinda kasema mahakama zipo kama mtu kaona hakufanyiwa haki kwenye uchaguzi aende mahakamani
 
Kumbe Mbowe na kamati kuu ya Chadema imesema uongo! Waziri mkuu akijibu swali la Mary Mwanjelwa amekana kabisa kuwepo kwa mazungumzo kati ya Mbowe na Waziri Mkuu.
Badala yake amesema mazungumzo hayo hayawezi kufanyika kwakuwa madiwani wamefukuzwa.
Ameshangaa kwa nini Mbowe aseme wana mazungumzo wakati wao kina Mbowe ndio waliomba appointment Jumamosi ya kukutana nae.
Ametoa wito kwa madiwani waliofukuzwa waende mahakamani kudai haki yao na wabunge wengi wakapiga makofi kwa kushangilia ushauri huo wa waziri mkuu kwa madiwani wafukuzwa.
Ndugai akapigilia msumari akasema inashangaza madiwani waliochaguliwa kwa nguvu ya umma lakini badae wafukuzwe kwa nguvu ya kamati ya siasa
 
Back
Top Bottom