Waziri Mkuu Mizengo Pinda amaliza mgogoro wa Mahakama ya Kadhi

Mazoko

JF-Expert Member
Jul 10, 2009
674
184
Baada ya BMK Leo kuanza kupiga Pinda awaomba waislamu wakubali rasmi kuwa mahakama ya kadhi haiwezekani kuwekwa ndani ya katiba hapa hekima na busara imetumika
Ilitaifa lijengwe vema dini mbili hizi kubwa zishirikiane kujenga waumini wake pamoja kuwa walinzi Wa Amani ya taifa letu Tanzania.

Jamani tuache utani, pinda ni jembe .Ametumia hekima na busara kubwa kuwashawishi waislamu kwamba mahakama ya kadhi itaingizwa kwenye sheria.

Hii si mara yake ya kwanza kutatua migogoro kama hiyo.

Huyo jamaa kama ccm watampa ridhaa ya kupeperusha bendera ya ccm naona anaweza kuleta changamoto kwa chadema.

Tatizo lake kinacho mgharimu huyu mzee ni ile kauli yake ya "apigwe tu". Ila kama si hivyo namwona kama mtu makini kwenye maamuzi.

Uraisi mwakani yeyote atakayeupata kati ya Dr.Slaa na huyu pinda watanzania hawatakuwa na shaka kabisa, ila akatokea kibaka mwingine akachukua nchi itakuwa ni shiiiida.


Bonyeza hapa chini kumsikiliza alicho sema Waziri Mkuu Mizengo Pinda

[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=189163&d=1412005054[/JFMP3]

Bonyeza hapa chini kusikiliza walichosema Viongozi wa dini za Kiislam na Kikristo

[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=189164&d=1412005054[/JFMP3]
 

Attachments

  • hotuba ya pinda bunge la katiba.mp3
    6.8 MB · Views: 1,273
  • viongozi wa dini.mp3
    10.7 MB · Views: 709
Ni leo bungeni,ni hakika haitakuwepo na itakuwa inasimamiwa na waislam wenyewe,si idara ya serikali
 
Ameahidi litawekwa kwenye sheria january......ila waislamu kwa nini wamekubali kirahisi hivi
 
waraka wa wakristo hauna tija kwa taifaa, ungekuwa waraka wa wananchi wote ingekuwa poa...sisi tusio wakristo hatujui content wa hizo nyaraka zinazosomwa makanisani.
 
Safi sana Sitta alikurupuka kama moshi wa kifuu Tanzania ni nchi isiyofuta misingi ya dini asa iweje mtuwekee mahakama ya kazi or sorry mahakama ya kadhii.
 
hebu tuweni serious........tukiweka mahakama ya kadhi kwa waislam,,,,,,,,, wakristo nao wataleta madai yao.....kila mtu atakuja na madai yake, je nchi itaendeshwaje? SERIKALI HAINA DINI ILA WATANZANIA WANA DINI KWAHIYO TUSILAZIMISHE SERIKALI IFANYE MAMBO YA KIDINI WAKATI YENYEWE HAINA DINI. N a tukiendelea kuendekeza huu udini yatatokea yale yale ya IRAQ......na IZO nchi nyingine. hebu tuangalie future yetu na sio kufurahia vitu ambavyo vitakua na impact kubwa kwa jamii yetu in future
 
Basi na kodi pia tulipe tofauti maana haki ya kisheria ni haki ya kila mtanzania na imo hata katika katiba ya mwaka 1977.

Haihusiani name kodi ndiyo maana mahakama inayofanya kazi sasa haina udini. Ila mahakama ya kadhi INA element ya dini ya kiislam
 
Anadhani waislam wa sasa watadanganyika kwa ahadi...?

ndo mshadanyika hivo; unataka mdanganyike mara ngapi: anyway 2010 kwenye ilani ya CCM mlidanganyika mkafikiri ------ angefanya lolote; ndo hivo tena kawatosa;chain yote ya viongozi wa juu ambao ni waumini wenu, wamewatosa; ndo maana mleta mada kasema AMEMALIZA....
 
Back
Top Bottom