Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

Wahudumu wao kuhusika kuokoa ni sehemu ya eneo lao la KAZI na Wana mafunzo. Na ilibidi kuokoa ili na wao wawe salama. Lakin dogo majaliwa ni mtu asiye na mafunzo na Bado angeacha asingekuwepo wa kumdai. Alijotolewa pasina msukumo wa kutaka na yeye kuokoka.
 
"Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera.

"Huyu Kijana tena Wajina wangu Majaliwa Jackson ni Shujaa kweli na lazima tumpe Asante kwani Yeye ndiyo alienda ilipo Ndege na kwa Kutumia Makasia aliyokuwa nayo akafungua Mlango wa Ndege na peke yake Kuokoa Abiria wote" Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.

Kazi ipo hakyanani.
sio wahudumu wanasema msikilize Auditor Nickson Jackson aliyepona kwenye hiyo ajali anaeleza bila kupepesa macho alisubiri muhudumu akafungua mlango wakawaona wavuvi wakija wakaokelewa hili la mlango liko wazi haliitaji mjadala waliopona wengi wamemuona muhudumu akifungua mlango. Pongezi Kwa majaliwa alifika mapema akaokoa maisha haya ya mlango hayamuhusu
 
Ww unae sema ali sema yeye ndie alie fungua mlango. Mtaje jina na weka picha. Ali hojiwa na media gani? Weka video. Coz majina ya Marehemu na majeruhi wa ajali yote yapo hapa ktk uzi mmoja hapa JF na huyo mhudumu hajawahi jitokeza.
 
sio wahudumu wanasema msikilize Auditor Nickson Jackson aliyepona kwenye hiyo ajali anaeleza bila kupepesa macho alisubiri muhudumu akafungua mlango wakawaona wavuvi wakija wakaokelewa hili la mlango liko wazi haliitaji mjadala waliopona wengi wamemuona muhudumu akifungua mlango. Pongezi Kwa majaliwa alifika mapema akaokoa maisha haya ya mlango hayamuhusu
Majaliwa Naye aliokolewa na wenzake ,Kama sio wenzake kumuokoa , pengine wangetafuta shujaa mwingine
 
sio wahudumu wanasema msikilize Auditor Nickson Jackson aliyepona kwenye hiyo ajali anaeleza bila kupepesa macho alisubiri muhudumu akafungua mlango wakawaona wavuvi wakija wakaokelewa hili la mlango liko wazi haliitaji mjadala waliopona wengi wamemuona muhudumu akifungua mlango. Pongezi Kwa majaliwa alifika mapema akaokoa maisha haya ya mlango hayamuhusu
Angewaacha wafie humo hio ndege ilikua imebeba wapumbavu
 
Back
Top Bottom