MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 253
Serikali makini na maamuzi makini, Ni msimamizi wa shughuli za serikali na waziri mkuu wa Tanzania, Mtu mkubwa kabisa kabisa, Alisema ma DR wasiporejea job ilikuwa ni siku ya jumatatu tar 16 woote watakuwa wamefutwa utumishi wa umma,
Mnajua mtayumba sana lakini ni bora kwenda kwa kuyumba kujenga kitu kipya kuliko mfumo huu wa Madaktari kwa sasa.
Sasa maamuzi ya Serikali yalishapita, Kinachofanyika sasa mmefyaka mkia au kuna nini??
Je waziri mkuu haoni kuwa alikurupuka kutoa hukumu kabla ya kujua kulikoni?
SERIKALI MAKINI TANZANIA