Waziri mkuu kuelekea Dodoma kesho kutekeleza ahadi yake aliyoitoa Julai 25

Very good! Sasa atulie huko sio anaenda asubuhi halafu jioni ana
arudi tena Dar. Aende na familia yake yote isijekuwa kama Mwinyi alihamia asubuhi kwa sherehe jioni akarudi zake Dar na hakung'aa tena kule.
 
Waziri wangu mkuu ni kati ya viongoz ninao waheshimu katka serikali hii . Aliahidi mwez wa tisa atakua dodoma, je kuanzia kesho tarehe mosi nikitaka huduma ya waziri mkuu nazipata dodoma au Dar!??

Kama hajahama kwanini alitudanganya??
Tumwamini nani sasa wewe pekee ndio tegemeo katika serikali hii.
Kesho ukitoa ahadi nyingine tutakuamini vp utekelezaji wake??

Nawaza kimya kimya nani atakua mkweli ccm?????????

Mwanajamii mwenzangu tafakari kabla hujaahidi. Si mmeona
 
Kuhamia kwake Dodoma kuna mpunguziaje ukali wa maisha bibi yangu aliyeko kijijini wakati Huduma za jamii zikiwa mbovu kupindukia?!
Umenena haki kabisa. Kwanza inaongez gharama. Raisi ndio alitakiwa awe wa kwanza kwenda Dodoma. Ili mawaziri waone aibu kubaki DSM. Napenda Dodoma iwe makao makuu. Lakini anatakiwa Rais wa Jamhuri aanze kwenda Dodoma. Vinginevyo ni usanii tu.
 
Ni vizuri kutimiza ahadi yake, si kama wengine waliosema ndani ya wiki tatu , wawe dodoma. Waziri mkuu hongera, umedhubutu na umeweza. Tunataka viongozi kama nyie. Ila wengine waliosema wanahamia lkni hawajaenda ni bora utengue uteuz wao
Afadhali yy kafanya jambo zuri sasa msafara wake umepungua Dsm , misafara mingine iliyobakia ingehamia huko haraka angalau jiji lipumue na foleni huku maendeleo yakisambaa mikoa yote hususani mikoa wa moro ambao ni njia ya kuelekea Dodoma.
 
Kuhamia kwake Dodoma kuna mpunguziaje ukali wa maisha bibi yangu aliyeko kijijini wakati Huduma za jamii zikiwa mbovu kupindukia?!
Huyo bibi yako kaishajichokea...ni wakati wa wewe kumtumia chochote kilamwezi na sio kisubiri Serikali inhudumie...

Zimenunuliwa ndege unauliza zitamnufaishaje...sasa kuhamia Dodima nako unauliza aha!

Timiza wajibu wako kutunza wazazi wako akiwemo bibi yako sio unakakaa mjini tu unapiga majungu.
 
Back
Top Bottom