Waziri mkuu kuelekea Dodoma kesho kutekeleza ahadi yake aliyoitoa Julai 25

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,961
WhatsApp Image 2016-09-29 at 6.17.01 PM.jpeg
 
hapa anahamia kweli au anafanya ziara? Mbona hii press release imetoka ofisi ya mkuu wa mkoa na sio OWM kabisa, halafu ile habari ya kumpokea mtumba kwa maandamano vipi tena? Ni muhimu aingie kwa shangwe mji mkuu
 
Hivi akitangulia yeye na rais anasema mpaka 2020 kwa zile shughuli zinazohitaji waziri mkuu na rais wakutane wazungumze itakuwaje??
Ok, jibu rahisi anaweza kwenda dar na kurudi kwake dodoma.....Sasa ile dhana ya kubana matumizi iko wapi??

Au skipe itakuwa inahusika sana!! naomba msaada kwa wajuzi wa jambo hili
 
kuhamia siyo tatizo, je tukimuhitaji hapo dom atakuwepo muda wote? au ndo atakuwa dar muda mwingi?
 
Hakuna jipya hapa zaidi ya kutaka kutupotezea muda na ilikhali walishasema hapa kazi tu,hawa watu mnaotaka waache kazi zao kuhamia majumbani mwenu ni ajabu au ni shereha?????
 
Mbona Raisi ndo kwanza anawekeza Dar
Anatujengea treni ya umeme
 
Back
Top Bottom