Waziri Mkuu ananyamanzishwa mara 3??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Katika Bunge lilopita tuliweza kushuhudia Waziri Mkuu akikalishwa chini Mara 3 Na spika wa Bunge A.Makinda!Pale walipotakiwa kupiga kura ya ndiyo Baada ya Zitto Kabwe kumwambia spika kuwa kauli zimeshabihiana hivyo ipigwe kura!!Kamakiongozi wa shughuli za serikali Bungeni je ilikuwa halali kwa Spika kumdharilisha Waziri Mkuu Kwakumnyima kueleza Mawazo yake??Au Spika anaona Waziri Mkuu ana udhaifu ndiyo maana anfanya hivyo?
 
Hatujawahi kuwa na Spika hovyo na waziri mkuu ambae sio makini kama hawa!!period
 
Kwa tukio hili tatizo si waziri mkuu ni spika, waziri mkuu alikuwa makini ndiyo maana hata baada ya kuulizwa mara tatu hakuteteleka nakumbuka mara ya mwisho alipoulizwa alisimama akasema 'NIMESEMA NDIO'. Imekuwa ni tendency ya wabunge wa CCM kupinga kila kinacholetwa na wapinzani, spika hakuamini mabadiliko yanayoanza kuonekana kuwa baadhi ya wabunge(makini) wa chama tawala wameanza kuamka akiwemo Waziri Mkuu. Hilo ni somo kwake spika kuwa na yeye pia anatakiwa aanze kubadilika bunge lijali maslahi ya taifa zaidi kuliko ya chama.
 
Duuuh balaa,Pinda anajifanya yuko makini sana lakini nimegundua naye mtu wa propaganda tu kama Tambwe Hiza basi!
 
Kwa tukio hili tatizo si waziri mkuu ni spika, waziri mkuu alikuwa makini ndiyo maana hata baada ya kuulizwa mara tatu hakuteteleka nakumbuka mara ya mwisho alipoulizwa alisimama akasema 'NIMESEMA NDIO'. Imekuwa ni tendency ya wabunge wa CCM kupinga kila kinacholetwa na wapinzani, spika hakuamini mabadiliko yanayoanza kuonekana kuwa baadhi ya wabunge(makini) wa chama tawala wameanza kuamka akiwemo Waziri Mkuu. Hilo ni somo kwake spika kuwa na yeye pia anatakiwa aanze kubadilika bunge lijali maslahi ya taifa zaidi kuliko ya chama.
Quinine umenena kweli tupu,tena live bila chenga,nakupa thanks!
 
Back
Top Bottom