Waziri Mkuu afanya ziara ya ghafla bandari, aamrisha kukamatwa kwa maafisa wa TRA

Huwezi kuta mazuri TPA wapigaji wale unless kama hujawai import mzigo.
To me hawana tofauti na Tanesco na bodi ya sukali.
Kamua baba Majaliwa umegusa penye when it comea to revenue generation
 
Asiishie kutoa maagizo tu afika polisi akafungue kesi kabisa na Mahakamani aende kutoa ushahidi.
 
Wachangiaji, tuchangie kwa uhalisia sio uhisia wa vyama. Anakwenda TPA kujionea yanayotendeka au ameenda kufukuza watu?? Je, anawafukuza kwa hayo tu aloyakuta au na hata ya nyuma eg 5 yrs back?
TPA ni ng'ombe wa maziwa kwa wakubwa. Mbona haendi Taa ya Nesco. Taabu hii ya kukatiwa maumeme bila sababuwala taarifa, majumba yameungua na mavyombo yamekufa ndani hayo hamuyaoni mnabaki kushabikia upele kukunwa??
Nasema, huo ni wajibu wake sio sifa

Shida yako nini mkuu, wanasema chanda chema huvikwa pete watu wa pwani huko. . . . . .
Hivi kwako sifa na kutia moyo yawezekana yana maana sawa??!!!

Mtoto anapoanza kutembea anaimbiwa na kupigiwa makofi. . . .Hii ni sifa au kumtia moyo??!!!
 
Hao ni watu wakubwa sana ktk nchi hii.na huenda wengi ni wale waliojipatanisha na ccm wasikamatwe au kuguswa.
 
TICS SAFI!,HAINA TATIZO,SHIDA NI VIMEMO VINGI MNO,
Mzigo upite...,huo usilipishwe..huo uacheni....huo ni WA mzee...!??
 
Nilimfahamu Massawe akiwa bandari ya Mwanza, ni mchapakazi sana ma mwadilifu, sidhani kama kabadilika, anatakiwa apunguze tu upole.

Sumve utatuambia na hiyo milioni 400 aliyompa Mamvi kusaidia kampeni za Ukawa nao ni upole?
 
Mmmh kama kweli haya yanayojili basi mafisadi wangejua afadhali wangechagua chadema kuliko haya yanayowatokea sasahivi.
 
Uko Sawa Mkuu,sababu Hata Leo Hii Bwn Pombe Akifanya Ziara Ya Kushitukiza Wizara Ya Ujenzi Alikokuwa Kama Bosi Atakuta Madudu Ya Kumshangaza Yaliyorundikana Miaka Nenda Rudi.Kidumu Chama Cha Mapinduzi!!.

Hiyo itakushangaza??!!
Chumbani kwako leo pakifagiliwa hautatoka uchafu??!!!
Hiyo ndio sababu ya kazi zisifanyike, kisa akienda wizara iliyomkuza atakuta madudu??!!!
 
Back
Top Bottom