Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,970
- 10,462
@Galt,
Nakubaliana na wewe kwamba, kwa kuwa Tanzania hatuna Ubalozi Libya, chanzo cha habari kwa Watanzania waishio Libya kuwaambia nini cha kufanya katika wakati huu mgumu ingekuwa ni tovuti ya serikali yao (namaanisha tovuti ya wizara ya mambo ya nje). Sasa tovuti inapokuwa haina taarifa muhimu na email hazijibiwi kwa wakati hadi Watanzania wanadandia lifti ya Kenya Airways ili kujiokoa na maswahibu ya Libya ni noma sana.