Waziri Mchengerwa kazia hapo hapo, TAMISEMi ni shamba la bibi

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
4,716
11,062
Waziri wa TAMISEMI endelea kuwatimua watumishi wa ovyo, hiyo Tamisemi ni shamba la bibi, imekuwa ni kawaida kwamba bila kutoa chochote hupati chochote, uhamisho kwa mtumishi ilikuwa ni suala na haki ya mtumishi lakini leo bila kutoa chochote mtumishi kuhama kutoka kituo kimoja kwenda kituo kingine imekuwa ngumu kama jiwe, ajira za TAMISEMI zimekuwa zikitolewa kwa kukomoana aliemaliza chuo mwaka 2017 kwa kozi hiyohiyo mfano afya anaachwa anaajiliwa mtoto aliemaliza 2020

Mheshimiwa ninayo majina 30 ya watumishi waliopo hapo ofisi kuu Dodoma wanaojifanya ni watumishi vishoka wa ajira hapo TAMISEMI niko tayari kukuletea orodha yao

Mheshimiwa hao watumishi vishoka hawana lolote wanachoweza kumfanya mtu kama mimi zaidi ya adhabu ya kumnyima mtu ajira, ni wepesi sana zaidi ya karatasi.
 
Watumishi wa TAMISEMI ni wapumbavu na Waonevu sana, wanazuia uhamisho wa Watumishi hasa Waalimu

Hao ni wa kuondolewa kabisa
 
Back
Top Bottom