Waziri Makamba: Umeme utaendelea kukatika mpaka tumalize maboresho. TPSF wamshukia kama mwewe

Na ndicho kaongea hata kama inauma,Miaka 6 iliyopita licha ya uchumi kushuka lakini Tanesco haiku repair mitambo ikawa busy na Bwawa la Nyerere matokeo yake uchumi ulivyofunguka demand ya umeme imeongezeka na mitambo imezidiwa.
Uongo tu,huko tanesco team ya maintenance ilikuwa na shughuri gani.

Wakati wa magu matengenezo yalifanywa lkn siyo kizembe hii serikali na urefu wa kamba itatuchodha sana.
 
Yes mkuu samahani nimechukua muda kukujibu, jibu ni Gas mkuu

Gas ambayo Balozi Polepole alifundisha kwenye lile darasa lake na kusema si yetu ilishauzwa yote na ndio sababu JPM akaamua kwenda kujenga Bwawa la Mwl Nyerere.

Kwa hulka yetu waTz huo umeme wa meli tayari ni dili hilo linapigiwa jaramba.
 
Bro mbona kila ukiongea tu unajicontradict hatari

So umeme tusahau kwa muda gani vileee tena

Ruhusuni makampuni binafsi kuzalisha umeme

Maji tunayo

Upepo tunao

Makaa ya mawe yapo

Nini tena

Bwawa lipo nk

Tunashindwa wapi?
 
Uongo tu,huko tanesco team ya maintenance ilikuwa na shughuri gani. Wakati wa magu matengenezo yalifanywa lkn siyo kizembe hii serikali na urefu wa kamba itatuchodha sana.
Shida sio timu shida ni pesa,tueleze wewe ukweli basi.

Tukuteue Ili uondoe uzembe?
 
Ndio ukweli huo,hao tpsf watoe pesa basi kama wanataka umeme usikatike.
Wewe jamaa kwanini unaandika bila kufikiri na kusoma na kumwelewa waziri wako?

Kwani huyo waziri wako amesema tatizo ni ukosefu wa pesa?

Tatizo ni SERA na MIPANGO mibovu ya serikali yenu chini ya CCM na kufanya wawe wanasema UONGO mara kwa mara

Inavyoelekea hata hujui au hukumbuki kuwa ni sababu hizi hizi anazozitoa Januari Makamba waziri wa CCM ndizo zimekuwa zikitolewa kwa miaka yote tangu awamu ya Urais Benjamin Mkapa wa Miaka 10 yake.. yaani UONGO MTUPU!!

Kisha Akaja Kikwete kwa miaka 10 tatizo likiwa palepale na sababu zilizokuwa zinasemwa ni hizihizi.....UONGO MTUPU, akaondoka na kuliacha tatizo!

Akaja baba wa uongo, Mwendazake John Pombe Magufuli kwa miaka 5 na miezi 3 ya Urais wake, yeye akawa anaficha tatizo. Akaacha mradi wa umeme wa gesi Mtwara uliogharimu matrilioni ya shilingi ulioanzishwa na JK kwa sababu hizi hizi - za UONGO MTUPU!

Leo yuko huyu mama na Makamba wake. Wameanza na mchezo uleule wa kutoa sababu hizi hizi za miaka yote.

Nakuhakikishia, tatizo la umeme wa Tanzania ni "donda ndugu" lililosababishwa na CCM yenyewe kwa SERA na MIPANGO mibaya iliyokwisha kufeli spectacularly!

Makamba anasema UONGO MTUPU na anajua kuwa anasema UONGO

Na kama Mungu atawajalia, watamaliza miaka hii mi3½ iliyosalia tatizo likiwa palepale. Kwanini?

Kwa sababu AKILI YA CCM (kupitia sera na mipango yao mibovu) ILIYOTENGEZA TATIZO HILI, KAMWE HAIWEZI KUWA AKILI HIYOHIYO YA KUTATUA TATIZO HILO!!!
 
Gas ambayo Balozi Polepole alifundisha kwenye lile darasa lake na kusema si yetu ilishauzwa yote na ndio sababu JPM akaamua kwenda kujenga Bwawa la Mwl Nyerere. Kwa hulka yetu waTz huo umeme wa meli tayari ni dili hilo linapigiwa jaramba.
With all my respect kwako, sijui politicians wetu wanataka kufanya deal ya kutengeneza ufisadi kwa kutumia hizi floating 🚢 kuzalisha umeme, kwangu lilikua wazo tu,...

gas yetu yote imeuzwa..mkuu usifanye utani kwenye hizi serious issue kama hii
 
Nani kakuambia serikali ndio itakupa umeme wa bei rahisi na sijui kwanini unaamini hivyo maana hatujawahi kuuona kwa zaidi ya miaka 50 TANESCO ilipoanza , nchi nyingi tuu sector ya umeme ni private sector na bei ipo chini na umeme wa kuaminika kuliko hao TANESCO, mlisema same thing kuhusu makampuni ya simu, acheni mawazo ya kitumwa
Kama ukipata muda nenda TANESCO waulize gharama walizo tumia wao Hadi kufika umeme kwako ukiachana na kiasi ulicho changia wewe. Jibu utakalo lipata ndio utajua kwanini hawapewi hao private sector kama mitandao yasimu.
 
With all my respect kwako, sijui politicians wetu wanataka kufanya deal ya kutengeneza ufisadi kwa kutumia hizi floating 🚢 kuzalisha umeme, kwangu lilikua wazo tu,...gas yetu yote imeuzwa..mkuu usifanye utani kwenye hizi serious issue kama hii

Utani upi niliofanya nisaidie na niko tayari. Hivi mnafikiri Watanzania wote wamesha sahau mauzauza yote ya Richmond kwa mfano.
 
Wewe jamaa kwanini unaandika bila kufikiri na kusoma na kumwelewa waziri wako?

Kwani huyo waziri wako amesema tatizo ni ukosefu wa pesa?

Tatizo ni SERA na MIPANGO mibovu ya serikali yenu chini ya CCM na kufanya wawe wanasema UONGO mara kwa mara

Inavyoelekea hata hujui au hukumbuki kuwa ni sababu hizi hizi anazozitoa Januari Makamba waziri wa CCM ndizo zimekuwa zikitolewa kwa miaka yote tangu awamu ya Urais Benjamin Mkapa wa Miaka 10 yake.. yaani UONGO MTUPU!!

Kisha Akaja Kikwete kwa miaka 10 tatizo likiwa palepale na sababu zilizokuwa zinasemwa ni hizihizi.....UONGO MTUPU, akaondoka na kuliacha tatizo!

Akaja baba wa uongo, Mwendazake John Pombe Magufuli kwa miaka 5 na miezi 3 ya Urais wake, yeye akawa anaficha tatizo. Akaacha mradi wa umeme wa gesi Mtwara uliogharimu matrilioni ya shilingi ulioanzishwa na JK kwa sababu hizi hizi - za UONGO MTUPU!

Leo yuko huyu mama na Makamba wake. Wameanza na mchezo uleule wa kutoa sababu hizi hizi za miaka yote.

Nakuhakikishia, tatizo la umeme wa Tanzania ni "donda ndugu" lililosababishwa na CCM yenyewe kwa SERA na MIPANGO mibaya iliyokwisha kufeli spectacularly!

Makamba anasema UONGO MTUPU na anajua kuwa anasema UONGO

Na kama Mungu atawajalia, watamaliza miaka hii mi3½ iliyosalia tatizo likiwa palepale. Kwanini?

Kwa sababu AKILI YA CCM (kupitia sera na mipango yao mibovu) ILIYOTENGEZA TATIZO HILI, KAMWE HAIWEZI KUWA AKILI HIYOHIYO YA KUTATUA TATIZO HILO!!!
Pamoja na mipango mibovu ya awali amesema pesa za matengenezo zinazohitajika ni til.4 na wamepata bil.400 tuu ndio msingi wa kwamba haijulikani umeme utaacha lini kukatika.

Kwa hiyo wewe unadhani shida ni nini kama.sio pesa za kufanyia matengenezo?
 
Screenshot_20220327-204344_Gallery.jpg

kwa hiyo hii haikuwa na maana

Screenshot_20220327-204247_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom