Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

Nadhani hapa point sio wizi wa Maige (sababu from that evidence, haijaonekana kama ameiba, ame-acquire legally)

Hapa issue labda tuanze kuongelea Mawaziri kujihusisha na biashara.., au Labda kodi zetu zinawalipa pesa nyingi (more than they need).., In short we need more transparency (lakini kwa hili zaidi ya kuchochea moto ambao unamwakia Maige, sioni kama kuna enough evidence za kumshutumu chochote)
 
Sasa kwa mtindo huu mnategemea Kuona reli inafanya kazi kweli?!! maana kumbe mawaziri ndio wanamiliki haya Malori yanayoua watu kila siku na kuharibu barabara zetu..na hawa wenye malori ndio wahujumu wa reli

Mkuu at least wewe umetoa critical comment..

Sioni sababu ya kudhani huyu ni mwizi au la, ila honestly hawa majamaa wameangamiza reli kwa interests zao katika logistics bussiness, nadhani wako wengi sana wanaomiliki hii biashara...

Reli itabaki kuwa historia...
 
Yaani badala ya kujisafisha ndo kajitupa kwenye mharo.
Malori mawili dola 20,000 per month? Ivi amefanya hesabu ya kuzidisha kujua ni tsh ngapi?
 
Mr. Minister tafadhari toa vielelezo kama vipo, Vinginevyo hawa wa-Tz kwa njaa mlizowasababishia watakutia matope hadi machoni.
 
minister tells how he bought sh656m house
wednesday, 25 april 2012 22:13
digg

maige-top.jpg


natural resources and tourism minister ezekiel maige

by mkinga mkinga
the citizen reporter
dar es salaam. Natural resources and tourism minister ezekiel maige yesterday denied reports that he acquired a posh house in dar es salaam’s upmarket mbezi beach area through corruption.
Mr maige told the citizen in an exclusive interview that he bought the house on plot 2001-2002 block e for $410,000 (about sh656 million at current exchange rates).

Media reports this week said the minister bought the one-storey house for $700,000 (about sh1.1billion).
Mr maige said he obtained two loans – of sh184 million and $200,000 (sh320 million) – from crdb bank.
Showing this reporter the loan acquisition and house purchase documents, the minister said the market price of the home sold to him by savanna real estate, was $450,000, but he bought it for $410,000.

According to loan documents made available to this newspaper by mr maige, he began servicing the second loan in january, this year, and will repay it over 48 months to december 2015 at a monthly rate of $5,127 per month (sh8,203,200). He said this was well within his means since he has income generating businesses. “i secured the $200,000 loan from crdb bank after using my house worth $410,000 as collateral and surrendering the title deed to the bank,” mr maige said.

Mr maige said he found it easy to buy a new house rather than build a new one.
He said he had declared all his property with the secretariat for leadership ethics commission, and showed copies of his declaration forms.

Mr maige, who also declared to have shares in mem logistic company which is run by his wife, said the company deals with cargo transportation to the democratic republic of congo.

He said for the time being he has two trucks which earn him about $20,000 per month.
He said he created the transportation firm after he had acquired a loan through parliament in 2005.
“you need to know that i’m in conflict with a certain group of people….this wrangle has been caused by my stand on issues at the ministry, the decision to sack some officials at the ministry headquarters has created tension among my enemies who were benefiting from those culprits,” mr maige said

without mentioning the names of ‘his enemies’ but categorically indicating that they are among members of the parliamentary committee responsible for lands, natural resources and environment, he said some of the them have been agents of the hunting block deals in collaboration with some officials at the ministry.

Reached for comment yesterday, an agent for the minister’s house mr athuman alias ustaadhi said maige bought one of the four apartments which was put on business some months ago now.

He could not shed more light on how the minister acquired the house, but distanced himself from the saga. On monday, parliament asked the government to discipline mr maige following corruption and ineptitude accusations by some staff under his watch.

A report of the parliamentary committee on lands, natural resources and environment revealed disorder in hunting blocks allocation and inappropriate issuance of permits and licences to hunt and export wildlife.

Add this page to your favorite social bookmarking websites


piga ua hapa kuna hela za ufisadi tu. Hawa jamaa wanatumia cover ya mikopo ya benki na vikampuni uchwara kuficha hela wanazopata kwa njia ya ufisadi.
Wandishi wa habari wangemuuliza aorezeshe income yake yote, then na matumizi yake yote mpaka ya kununualia sabuni. Tune kama atabakiwa na hela ya kulipia hiyo mikopo.

Tatizo la waandishi wetu wanachukuwa tu maelezo wanayopewa bila kuuliza maswali ya kuchimba kwa ndini.

 
mawaziri wengi wa tanzania ni wezi wa sarilimali za taifa.kila waziri anakwiba alipo shipa ila maige ameshika penye kula waliwemo wa madini,fedha nk
 
Kulipa kodi na kulipa kodi inayostahili ni vitu viwili tofauti. Baadhi ya kampuni Tanzania huwa hawalipi kodi inayostahili kwa ujanjaujanja tu. TRA bado wana kazi kubwa ya kufanya kwenye hili.
Mkuu umegonga nyoka kichwani kabisa. Tatizo la Maige ametumia madaraka yake ya uwaziri kukwepa kodi. Sio atueleze kuwa alianza biashara kwa kukopa bungeni, atueleze kabla ya ubunge na uwaziri alikuwa na nini? Je kama wenye malori mawili wanaingiza hela nyingi hivyo je Dhando, Kanji Lalji, Bhakresa na wengine wenye malori zaidi ya 100 wanaingiza bei gani? Tunakusanya kodi kiasi gani kwenye hizo sekta? Kama biashara ya usafirishaji wa barabara ina faida namna hiyo tusahau kabisa kujengewa Reli maana viongozi wanafaidika na usafirishaji wa barabara wana sabotage reli.
 
TRA mpo hapo au kma kawaida yenu mawaziri hamwagusi? mi nitaenda TRA kufuatilia km kweli analipa kodi huyu Maize!!!!
 
Heshima kwanu wanajamvi,

Waandishi wa habari Tanzania hawafanyi kazi vyema.Ningekuwa mwanahabari ningemuuliza Waziri Maige maswali yafuatayo.

[1] Audited financial statement 2005 /06 - 2006 / 07 - 2007 / 08 - 2008 / 09 & 2009 / 10

[2] Ningependa kufahamu kama Audited Financial Statements tangu kampuni ilipoanzishwa mpaka sasa hesabu zake zimepelekwa TRA na kodi stahili zimelipwa na faida aliyotamka ina reflect reports zilizopelekwa TRA.

[3] Ningependa kufahamu nyumba aliyoitumia kama collateral ilifanyiwa valuation na inathamani anayotaka kutuaminisha ?.Ningeenda mbali zaidi je hiyo nyumba aliijengwa mwaka gani na kwa mapato yapi ?.
 
Numefuatilia maelezo ya maige kuhusu garama ya nyumba anayomiliki mbezi.nahisi kushawishika kwamba huyu waziri anafanya kitu kinachaitwa money laundering.unakuwa na fedha chafu halafu unazisafisha.maige ameziasafisja kwa kukopa na kibiashara cha track mbili kwenye mem company.sasa hivi kunautalaamu ea kutosha hapa nchini wa kubaini mchezo huo mchafu.kama biashara hiyo ya trucks pia alikipa je anawezaje kuservice mikopo muwili kwa source moja tu.wakuu haoa kuna kufisadi uliojifucha.angalia oia liasi alichokopa ni kidogo. kyliko bei ya nyumba balance alipata wapi?atatwaambia ni kutoka mem ltd
 
Kwa habari ya gari na usafirishaji congo lub, ni dola 8500less costs ni kama dola 6000 na inakuwa trip moja ni kwa mwez
 
Numefuatilia maelezo ya maige kuhusu garama ya nyumba anayomiliki mbezi.nahisi kushawishika kwamba huyu waziri anafanya kitu kinachaitwa money laundering.unakuwa na fedha chafu halafu unazisafisha.maige ameziasafisja kwa kukopa na kibiashara cha track mbili kwenye mem company.sasa hivi kunautalaamu ea kutosha hapa nchini wa kubaini mchezo huo mchafu.kama biashara hiyo ya trucks pia alikipa je anawezaje kuservice mikopo muwili kwa source moja tu.wakuu haoa kuna kufisadi uliojifucha.angalia oia liasi alichokopa ni kidogo. kyliko bei ya nyumba balance alipata wapi?atatwaambia ni kutoka mem ltd

Yaani kidogo ungeleta habari, tatizo hujatulia!, labda hasira imesababisha. ila nimekuelewa usijali

yangu ni haya:

1. Mnatakiwa mjue kwamba hakuna wa kumchunguza Maige!,
2. Ukweli upo pale pale kwamba hata wakina SAS, NAS na KUGI's waliokuwa na magari kibao na mtandao wa biashara mpana hawapati dola 20,000 kwa mwezi katika magari 2. Kwanza gari kwenda DRC ni dola 5000 maximum na inamaliza wiki 2 njiani. hapo ukimlipa dereva, utingo, ukanunua mafuta, tairi ma dharura nyingine inabaki labda 2000! Kwa ujumla huyu ni Mwizi.
3. Kwa faida ya dola 20,000 kwa mwezi kampuni inatakiwa ilipe kodi ya mapato 30% = 6000. huu nao ni wizi.
 
According to loan documents made available to this newspaper by Mr Maige, he began servicing the second loan in January, this year, and will repay it over 48 months to December 2015 at a monthly rate of $5,127 per month (Sh8,203,200). He said this was well within his means since he has income generating businesses. “I secured the $200,000 loan from CRDB Bank after using my house worth $410,000 as collateral and surrendering the title deed to the bank,” Mr Maige said.

huyu ni jambazi.....atueleze hiyo nyumba nyingine ya $410,000 alitoa wapi pesa kuijenga na ikumbukwe jimboni kwake alimwaga Tshs 500 milioni tu hivi majuzi majuzi tu kama siyo fisadi ni nini?

pili, huo mkopo hawezi kuulipa na riba kwa kiwango hicho cha tshs 8m/=..................ni mwongo kwa miezi 48 hata kama takwimu za mapato yake ni za kweli wakati ni uzushi mtupu kama wengi wachangiaji walivyobaini.......kwa miezi 48 malipo ya tshs 8 hayafikishi hata Tshs 400m/=...sasa kwa mkopo wa zaidi ya tshs 600m/= na bado riba ambayo haipungui 20% per annum yabidi angalau alipe Tshs 20m/= kuweza kurudisha hela ya watu kwenye kipindi hicho hicho bila hata ya wkwenda ndani ya mahesabu yenyewe.

tatu, huyu fisadi kazungumzia ya kuwa ana mapato lukuki lakini yuko kimya juu ya gharama za uendeshaji ili kuyapata mapato tajwa....................hata kama takwimu zake ni sahihi bado hawezi kudai hela zote huziingize kwenye faida ili aweze kulipa deni tajwa..........

nne, malipo yake TRA hayana uhusiano na takwimu alizozitoa ........kwa takwimu za mapato alizozitoa ambazo zinamwonyesha ana kipato cha zaidi ya TSHS 400m/= kwa mwaka basi alipaswa alipe TRA kodi isiyopungua TSHS 120m/= kwa maana ya corporation tax, VAT na kodi ya mishahara ya wafanyazi wake jambo ambalo halipi.

tano, maige badala ya kuonyesha nakala za forms zake alizojaza Secretairat for leadership Ethics Commission ambayo ni walaji wazuri na hakuna kazi yoyote wanayoifanya...................alipaswa aonyeshye malipo yake ya TRA ili kuthibitisha ya kuwa hicho ni kipato halali na kimekuwa kikilipiwa kodi............kama halipi kodi hiyo ni khoja tosha ya kumfukuza baraza la mawaziri na kuiagiza takukuru kuanza kuonyesha demo hapo..........

sita...............................jaziliza basi na wewe...................
 
Maige ni muongo. Malori yake ninayafahamu. Yanakwenda Kongo. Yanafanya safari ya Kongo mara moja kwa mwezi. Hayatoi faida hiyo. Anafaa kuuwawa kweupe..
 
Back
Top Bottom