Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

Kuingiza hela ni tofauti na kubakiza hela. Kodi muhimu zote kwenye transportation hulipiwa kabla hujapata kibali cha kuendesha biashara hiyo, hususan ukiwa na malori.

Kodi ya mapato hulipiwa mapato yaliyobaki baada ya gharama zote. Katika biashara ya malori ni aghalabu sana kupata gross profit inayofikia 20%.

Namna ya ulipaji kodi wa mfanya biashara ya malori ni tofauti kabisa na biashara zingine, kwa hiyo kabla hamjaanza kukisia ni vipi Maige alipe kodi ni lazima muelewe namna ya biashara na kodi zake zinavyokokotolewa.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

wewe acha ushamba.ndugu yako nn?
 
Kampuni yake inalipa kodi SEMA LINGINE

Kulipa kodi na kulipa kodi inayostahili ni vitu viwili tofauti. Baadhi ya kampuni Tanzania huwa hawalipi kodi inayostahili kwa ujanjaujanja tu. TRA bado wana kazi kubwa ya kufanya kwenye hili.
 
Does anyone buy into the kind of proof and justification he has provided? $20,000 dollars revenue per month from transport business having only two trucks i.e., $10,000 income per truck per month?
Mkuu this is impossible by all means. A thorough investigation to dig out the truth should be instituted by our beloved brothers and sisters from PCCB. No one can make this kind of profit from transportation biz having only two trucks. It can make sense if you have a fleet of trucks let say 10 onwards as you may enjoy economies of scale; but two trucks no way.
 
Plz faida ya trip moja Congo haizidi dola 2000 tena hapo kajitahidi kubana na pia kwa mwezi waweza piga trip mbili tu hata kama dereva wako kakomaaaaa balaaa so in that case in am month anaweza pata dola 8000 kwa magari yote toa kila kitu hapo sasa yeye anabeba nini mpaka alaze 20000 usd in a month .... For two truck haiwezekani labda awe na gari sita min
Na hapo uwe umezidisha uzito na bado hujahonga kwenye mizani zilizotapakaa njiani!
 
Lembeli kwa majungu duu! amezeeka vibaya! Lembeli sisi tunaomfahamu ni mtumbuaji mzuri. Asipamabane na wajukuu zake wanaowaza maendeleo.
 
Does anyone buy into the kind of proof and justification he has provided? $20,000 dollars revenue per month from transport business having only two trucks i.e., $10,000 income per truck per month?

Yeah mkuu ni possible tena nadhani anapata zaidi kwa hayo magari mawili kama ni kweli anapeleka kongo.
 
Goodness me........what happened to that thing called ''conflict of interest''?.......... I wonder........Mr Maige you are getting $10,000 per truck per month for just ''leasing'' it?......I got eight you know and can't get that!
 
Msemo huu unasummarize maelezo ya Maige "Kwa Mungu kila goti litapigwa"!

Hii ni Tz, kila kiongozi akitaka kufanya chochote kwanza anatengeneza mazingira ya kucover nyendo zake kwa PCCB na wanoko wengine watakaotokea. Binafsi hiyo ya mkopo wa Benk naona imekaa vizuri japo mashaka yangu kidogo ni jinsi ya kupata $20,000 per month with 2 trucks!!!!!!!!!!

Uzuri waandishi wetu, aidha kwa makusudi au kwa kutoelewa uwa wanachukua habari na kuzikariri kama kasuku. Kwa mwandishi muelewa, angemuuliza kama hiyo biashara yake inalipa kodi stahiki? Na uthibitisho wake!

Bosi wake Spika alisema ubunge unaleta umaskini ndiyo maana naye anatumia muda huu kujiweka sawa. Loh!!!
 
Mimi naendelea kuchungiza ule usafirishaji wa Twiga kinyemela yeye alipata bei gani baasi!!!!!
 
Ww kila biashara unafanya kujenga nyumba upo,usafirishaji upo kweli ungekuwa na biashara zote hizo usingekuwa na muda wa kipumbavu kukaa jamiiforum all time
This is great. Am happy kuwa watu humu ndani mnafahamu profession yangu. Kwa kazi yangu bila kuwa na trucks huwezi fanikiwa. Utakuwa unaingia garama kubwa sana kwenye usafirishaji.

Hapa JF ni kijiweni kwangu. Natulia hapa wakati nikimonitor mambo yangu yanaendaje.
 
Tume ya Maadili ya Viongozi inasemaje kuhusu hili?........je amejaza zile fomu au naye aliibiwa na shetani kama Mama Lwakatare?
 
Plz faida ya trip moja Congo haizidi dola 2000 tena hapo kajitahidi kubana na pia kwa mwezi waweza piga trip mbili tu hata kama dereva wako kakomaaaaa balaaa so in that case in am month anaweza pata dola 8000 kwa magari yote toa kila kitu hapo sasa yeye anabeba nini mpaka alaze 20000 usd in a month .... For two truck haiwezekani labda awe na gari sita min

Kama kongo haizidi dola buku 2 mkuu kwa mwezi, mbeya ni kiasi gani mwenye semi anapata? Me nadhani kupata dola buku 10 per semi per month inawezekana kutegemea na mzigo anaopeleka na kuchukua kuleta tanzania. Pia inategemea anafanya biashara na watu gani.
 
Mimi nina hizo trucks na luck enough nimeshafanya biashara na Bravo aliowataja Maige, actually Bravo na Angelina ni kitu kimoja japo yeye kaweka as if ni vitu viwili tofauti. Safari ya Congo ni agharabu kuchukua mwezi mmoja mara nyingi ni mwezi na nusu na kuendelea. Infact ili uwe comfortable ni nzuri ukaplan kuwa safari moja ni miezi miwili. Ni uongo wa kitoto hasa kusema kwamba lorry moja Bravo wanamlipa dola 10,000. Wao Bravo hawapati hiyo dola 10,000 kwa mwezi how come wamlipe zaidi ya wanachopata? Maige ni mwizi kama walivyo wengine period.
Hebu tuelekezane na lugha kidogo kuhusu neno aghalab. Haliandikwi agharabu, bali ni aghalab na maana yake ni mara nyingi, sio mara chache kama ulivyotumia.
 
Mimi naendelea kuchungiza ule usafirishaji wa Twiga kinyemela yeye alipata bei gani baasi!!!!!

Hebu tuorodheshe wote wanaoweza ku-benefit from twita smugling ceteris peribus: waziri, katibu mkuu, mkurugenzi wa wanyama pori, mhifadhi mkuu wa mbuga, mkurugenzi wa eaport, afisa usalam wa eaport, mkaguzi wa nyara wa eaport, mkuuwa polisi wa wilaya, mkuu wa polisi mkoa.......... Huenda na mkuu wa nchi na washauri wake. Kisha tuangalie thamani ya twiga mmoja akisafirishwa legally.............
 
Hawajui kuwa muda huu ndio mwenendo (proceedings) wa kesi unaendelea, CDM wakiingia nia hukumu (judgment day).
 
Does anyone buy into the kind of proof and justification he has provided? $20,000 dollars revenue per month from transport business having only two trucks i.e., $10,000 income per truck per month?

Kwa exchange rate ya sasahivi $1= Tsh.1,600.00 kwahiyo truck moja inamuingizia kiasi cha Tsh.16,000,000.00 (shilingi milioni kumi na sita) kwa mwezi!?

Sijawahi kuona ama kusikia truck inayoingiza kiasi kikubwa cha fedha kiwango hicho, hii ya maige bila shaka itakuwa ni ya kwanza.

Kweli nchi hii inaliwa kiulainiiiii na wateule wachache huku wananchi tukichekelea.
 
hilo la kupata dola 20,000 kwa mwezi kwa kukodisha magari mawili nina shaka nalo
Kama biashara hii ipo basi na mie najiunga
OTIS
 
Back
Top Bottom