Waziri Maige amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Wanyamapori kupisha Uchunguzi!

hili dili naona ni la wakubwa wa chama cha .........wanalipa fadhila hela za uchaguzi.......
 
Anaongea point sana kama itafanyika kama anavoongea, nimempenda japo ni magamba naona ni bora zaidi ya Pinda, kwa mnaoangalia TBC Kasema ndege ya jeshi liyochukua wanyama ilikuwa na kibali cha diplomatic haikustahili kufanya uhalifu na anajirizisha na ushahidi kabla hajaituhumu nchii nyingine kufanya uhalifu kumbe kuna watu wamebariki document halali wakajikuta wanaishia kuomba radhi, ila amemsimamisha kazi mkugunzi flani na watu wawili chini yake sijamsikia jina vizuri ntawajuza zaidi huku umeme uko

Huyo waziri wanatakiwa kushirikiana na mawaziri wenzake wa afrika mashirki na afrika kuzuia kabisa kuuza wanyama nje.

  • Kuuza wanyama nje ni kuhujumu uchumi na utaliii wa nchi. So watalii wanakuja kushangaa nini ???? vumb?????i au wamasai ndio wamebaki vivutio.
  • Kama kuna ulazima wa kuepeleka wanyama nje basi wawakodishe. hata kama ni 50$ per day kwa twiga na 100$ kwa tembo Na haki miliki ya mmyana na hata mnyama akiazaa mtoto ni haki yetu. Na kamakuna ulazima wa Kuuuuza basi lazima iwepo capkwamba Tutauza tembo 10 tu kwa mwaka. Na wanatakiwa wauziwe kwa mnada ili kupata best value.
CHina ina lease Panda wake kwa US na inapata pesa kibao sio kuuza . Eafria mashariki wanatakiwa kuwa na say moja kuhusu hilo . Hizo zoo zinatakiwa waje wazijenge hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom