Rugas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2009
- 1,048
- 196
Kwa hakika kabisa Maige angekuwa muungwana angeachia ngazi. Hii kashfa ni kubwa mno kuuhimili. Hakuna maelezo ya maana hapa wakati watu tuna uchungu na twiga wetu.
sasa mbona baraza lote litaisha!!! maana
Ngereja anaambiwa aachie ngazi kwa sakata la umeme na Jairo.
Nundu aachie ngazi kwa kukubali bajeti ndogo pamoja na sakata la Uda...
Tibaijuka naye sakata la kumilikisha ardhi ovyo ovyo kwa wawekezaji... na kushindwa kutatua migogoro ya ardhi
sasa Maige naye kaja na kutorosha wanyama....
baraza lote kwisheni!